Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Wizara ya biashara ina KPI zinazoeleweka? Je tunapimaje ufanisi wa wizara hiyo?
 
Nawahurumia sana waliofundishwa na Kitila Mkumbo
 
Mkuu Dada Bite, Beatrice Kamugisha , Prof. Kitila ni mtu wa political science, ina political economy, he a strategist, kwa Chadema huyu na Zitto ndio walikuwa roho ya strategies za Chadema, he is very fine upstairs, na kwa maoni yangu, ni yeye ndiye aliuandika ule "waraka wa mabadiliko".

Hiki kinachoendelea sasa kwenye siasa za Tanzania, Prof alikizungumza kabla
P
 
Ikumbukwe pia kuna watu wenye cv husika katika sehemu husika za kiutendaji lakini utendaji unakuwa hovyo!
 
Nisingetegemea Profesa wa Saikolojia aliyewahi kuwa upande wa upinzani (Chadema na ACT-Wazalendo) leo auite upinzani uchwara! Asingepitia upinzani ningemuona anastahili kuitwa Profesa lakini ninamuona nyangarakasha au boga tupu.
 
he is very fine upstairs! Kama ni hivyo inakuwaje anakashifu sehemu aliyoitumikia? Umeitumikia dini yako kwa miaka leo umehamia dini nyingine na unaamua kuiita dini uliyotoka kuwa ni ya shetani! Are you very fine upstairs?
 
Mambo ya imani ni very delicate inakubidi uwe insensitive, ni ukweli kabisa kuna dini wanaamini shetani bila wao kujijua kwasababu shetani ameji disguise as God!. Mtu ukilijua hilo unatakiwa kujiondokea tuu mwenyewe na kuwasaidia wengine realization wajitambue but not despising dini yoyote hata wanaoabudu sanamu. Kama amefanya hivyo hilo ni kosa kubwa. Ila mtu kuwa bright , intelligent na learned msomi toka vikabila vidogo vidogo unakuta ukoo mzima PH.D ni moja tuu, lazima unakuwa arrogant. Wako ma Prof. nawajua kwenye bussiness card zao wameandika just a plain name
P
 
Mleta mada fuata muongozo huo hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…