Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawahurumia sana waliofundishwa na Kitila MkumboSometimes tunapaswa kujua mtu kasoma Nini ndipo tuamue kumkosoa au tukae kimya, japo wakati mwingine performance inaweza isilinganishwe na kiwango Cha elimu. Ila kwa waalimu Kama Dr. Kitila Mkumbo tunapaswa kujiuliza alipelekwa viwanda kutokana na elimu yake,uzoefu au exposure? Kwa kuwa Mwenye majibu Ni aliyemteua Basi sisi tuombe tuyajadili yanayoonekana tukianza na CV yake. Kupitia mjadala huu yeye Kitila na mteuzi wanaweza kutambua mtizamo wa jamii nakuamua waendelee kuaminiana au kazi imekuwa nzito?
Mkuu Dada Bite, Beatrice Kamugisha , Prof. Kitila ni mtu wa political science, ina political economy, he a strategist, kwa Chadema huyu na Zitto ndio walikuwa roho ya strategies za Chadema, he is very fine upstairs, na kwa maoni yangu, ni yeye ndiye aliuandika ule "waraka wa mabadiliko".Sometimes tunapaswa kujua mtu kasoma Nini ndipo tuamue kumkosoa au tukae kimya, japo wakati mwingine performance inaweza isilinganishwe na kiwango Cha elimu. Ila kwa waalimu Kama Dr. Kitila Mkumbo tunapaswa kujiuliza alipelekwa viwanda kutokana na elimu yake,uzoefu au exposure? Kwa kuwa Mwenye majibu Ni aliyemteua Basi sisi tuombe tuyajadili yanayoonekana tukianza na CV yake. Kupitia mjadala huu yeye Kitila na mteuzi wanaweza kutambua mtizamo wa jamii nakuamua waendelee kuaminiana au kazi imekuwa nzito?

Hapana. Huyu alisomea saikolojia ya watoto.Prof. Kitila ni mtu wa political science
Ana mdomo mpana.CV yake ni fupi sana:
Alizaliwa Iramba
Akafundisha UDSM
Akajiunga CHADEMA
Akajiuza CCM yeye, Zito na Mwigamba
Akaenda ACT
Akanunuliwa tena CCM
Akapewa ubunge na Magu
Akapewa uwaziri na Magu
Km Tundu???Ana mdomo mpana.
Nisingetegemea Profesa wa Saikolojia aliyewahi kuwa upande wa upinzani (Chadema na ACT-Wazalendo) leo auite upinzani uchwara! Asingepitia upinzani ningemuona anastahili kuitwa Profesa lakini ninamuona nyangarakasha au boga tupu.Mkuu Dada Bite, Beatrice Kamugisha , Prof. Kitila ni mtu wa political science, ina political economy, he a strategist, kwa Chadema huyu na Zitto ndio walikuwa roho ya strategies za Chadema, he is very fine upstairs, na kwa maoni yangu, ni yeye ndiye aliuandika ule "waraka wa mabadiliko".
Hiki kinachoendelea sasa kwenye siasa za Tanzania, Prof alikizungumza kabla
PJe, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo
Wanabodi, Leo asubuhi nimepata fursa ya kufuatilia mjadala live wa Star TV kuhusu kasi ya Magufuli kwenye kupambana na Rushwa na Ufisadi ambapo wageni waalikwa ni Renatus Mkinga na Prof. Kitila Mkumbo wa Chuo Kikuu cha DSM. Prof. Kitila ameuita upinzani wa Tanzania ni upinzani uchwala...www.jamiiforums.com
he is very fine upstairs! Kama ni hivyo inakuwaje anakashifu sehemu aliyoitumikia? Umeitumikia dini yako kwa miaka leo umehamia dini nyingine na unaamua kuiita dini uliyotoka kuwa ni ya shetani! Are you very fine upstairs?Mkuu Dada Bite, Beatrice Kamugisha , Prof. Kitila ni mtu wa political science, ina political economy, he a strategist, kwa Chadema huyu na Zitto ndio walikuwa roho ya strategies za Chadema, he is very fine upstairs, na kwa maoni yangu, ni yeye ndiye aliuandika ule "waraka wa mabadiliko".
Hiki kinachoendelea sasa kwenye siasa za Tanzania, Prof alikizungumza kabla
PJe, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo
Wanabodi, Leo asubuhi nimepata fursa ya kufuatilia mjadala live wa Star TV kuhusu kasi ya Magufuli kwenye kupambana na Rushwa na Ufisadi ambapo wageni waalikwa ni Renatus Mkinga na Prof. Kitila Mkumbo wa Chuo Kikuu cha DSM. Prof. Kitila ameuita upinzani wa Tanzania ni upinzani uchwala...www.jamiiforums.com
Mambo ya imani ni very delicate inakubidi uwe insensitive, ni ukweli kabisa kuna dini wanaamini shetani bila wao kujijua kwasababu shetani ameji disguise as God!. Mtu ukilijua hilo unatakiwa kujiondokea tuu mwenyewe na kuwasaidia wengine realization wajitambue but not despising dini yoyote hata wanaoabudu sanamu. Kama amefanya hivyo hilo ni kosa kubwa. Ila mtu kuwa bright , intelligent na learned msomi toka vikabila vidogo vidogo unakuta ukoo mzima PH.D ni moja tuu, lazima unakuwa arrogant. Wako ma Prof. nawajua kwenye bussiness card zao wameandika just a plain namehe is very fine upstairs! Kama ni hivyo inakuwaje anakashifu sehemu aliyoitumikia? Umeitumikia dini yako kwa miaka leo umehamia dini nyingine na unaamua kuiita dini uliyotoka kuwa ni ya shetani! Are you very fine upstairs?
Mleta mada fuata muongozo huo hapo...Mkuu Dada Bite, Beatrice Kamugisha , Prof. Kitila ni mtu wa political science, ina political economy, he a strategist, kwa Chadema huyu na Zitto ndio walikuwa roho ya strategies za Chadema, he is very fine upstairs, na kwa maoni yangu, ni yeye ndiye aliuandika ule "waraka wa mabadiliko".