Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

sijui ni lini MWALIMU KAIJAGE NAYE atapandishwa kutoka UPE hadi secondary school ? Maana kuna mkakati wa kupromote wasaliti wote .
 

HAMY-D a.k.a Hamida umeachika nini? Sasa huo uprofesa wake una tija gani kwa taifa huoni tuna maprof kama J Magembe Mbarawa ambao wamekua mizigo kwa taifa?
 

Kwangu mimi kitaaluma Dr. ni prestigious zaidi ya professor.

Ndo maana mtu kama Dr. Cornel West licha ya kuwa ameshawahi kuwa (full) professor Harvard na Princeton lakini bado anajulikana na bado hujitambulisha kama Dr. na si Professor.
 

kama hivyo ndivyo maproffesor walivyo tunajifunza nini basi kutoka kwa wasomi hawa?
 

kwan ndo wakwanza kuitwa prof?? acha mawazo mgando shughulisha akili vinginevyo utaolewa
 
Acha kupanick kk....tumpe hongera kiroho safi tu! Usiwe na roho ya wivu kama Dr Slaa.

Mbona na Dr. Slaa ni professor lakini ajitambi, mbona Mwlm Nyerere alikuwa Prof. lakini alikufa akiitwa mwalimu acha usamba u-prof ni jina tu kama la majimarefu ua professor J
 
Kuna kiongozi mmoja kwenye lile Kongamano lililofanyika UDSM siku ya Jumapili tarehe 3 Aug; jamaa mmoja wa CCM kama sio Wassira basi ni Lukuvi, alimwita ni Professa Kitila Mkumbo; nilidhani alikosea...kumbe walishampatia hiyo kofia! mwe...
 

sasa chadema inausiki vipi na yeye kupata u prof wake? labda wewe ndo inakuuma:wof:
 
Hongera MKUMBO,jamaa kichwa sana nanunua Gazeti la RAIA Mwema ili nijifunze kutoka kwake vitu tofautitofauti,nimefaidika sana na Makala zake.
 
Hongera Profesa Kitila Mkumbo, waswahili wanasema wa mbili ni mbili tu, wambili havai moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…