Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
sijui ni lini MWALIMU KAIJAGE NAYE atapandishwa kutoka UPE hadi secondary school ? Maana kuna mkakati wa kupromote wasaliti wote .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora yeye kazipata kwa jasho, kuna mtu hata hajasome ila anaitwa Dr fulani
Hii nayo ni si hasa?
WanaJF,
Naamini wote tunamfahamu ndugu Kitila Mkumbo kwa wadhifa wake wa uhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika wadhifa wake huo yeye amesimama kwa kiwango cha elimu cha Ph.D na alikuwa akiitwa Dr. Kitila Mkumbo kwa kipindi kirefu kwa sasa.
Ila kwa sasa ndugu Kitila Mkumbo ameukwaa u-professor rasmi na kuanzia leo atakuwa akijulikana kama Prof. Kitila Mkumbo!
Taarifa hii ni dhahiri itawatia hasira sana watu wa CHADEMA huku wakiongozwa na babu Slaa bila kumsahau Mbowe!
Jamani, wote kwa pamoja tutumie fursa hii kumpongeza ndugu Kitila Mkumbo kwa kuukwaa u-professor!
Yaani wewe ni zuzu wa mwisho kabisa duniani huyo jamaa huo uprofesa unamsaidia yeye na familia yake!!
I thought so.
They should take it from someone who should know.
Professor maana yake ni mwalimu.
Kifaransa ukitaka ku distinguish mwalimu wa chuo kikuu unasema le professeur dans le superieur, otherwise hata mwalimu.wa shule ya msingi ni "le proffeseur".
Kuna jamaa alikuwa anafundisha historia first year, wanafunzi wakimwita Dr. ilibidi awasahihishe.na kuwaambia kwamba "mimi.si Dr. kwa maana sijafanya Ph.D yangu bado, mimi.ni professor tu".
Sasa bongo nashangaa kuona "professor", which is basically "teacher", inakuwa na prestige kuliko Dr. which is an actual academic distinction denoting that someone has a Ph.D .
Hata Obama alikuwa professor wa sheria, lakini hana Ph.D
Hata Muhongo naye ni profesa lakn anazidi kuuza nchi kila siku na mpka leo hamna Umeme, Lipumba naye ni Profesa lkn anashangilia Serikali ya Uingereza kupitia BBC kufungua Kituo Chake Nchini mwetu, hata Magembe naye ni profesa lkn ni fisadi namba 1, hata yule wa Wizara ya Mawasiliano pia jina nimemsahau ni profesa lkn TTCL kwishney orodha inaendelea!
WanaJF,
Naamini wote tunamfahamu ndugu Kitila Mkumbo kwa wadhifa wake wa uhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika wadhifa wake huo yeye amesimama kwa kiwango cha elimu cha Ph.D na alikuwa akiitwa Dr. Kitila Mkumbo kwa kipindi kirefu kwa sasa.
Ila kwa sasa ndugu Kitila Mkumbo ameukwaa u-professor rasmi na kuanzia leo atakuwa akijulikana kama Prof. Kitila Mkumbo!
Taarifa hii ni dhahiri itawatia hasira sana watu wa CHADEMA huku wakiongozwa na babu Slaa bila kumsahau Mbowe!
Jamani, wote kwa pamoja tutumie fursa hii kumpongeza ndugu Kitila Mkumbo kwa kuukwaa u-professor!
Acha kupanick kk....tumpe hongera kiroho safi tu! Usiwe na roho ya wivu kama Dr Slaa.
Uprofesa wa Ualimu, huwezi fananisha na Sheria ya Lissu.. HAPO NI MAJI NA UPEPO...Haya sasa Prof. KITILA MKUMBO vs Ndugu TUNDU LISSU, lissu aokote makopo.
Kweli isipokuwa Mbowe na Salaa ndio wenye mchango tu!Ccm ina maprofessor wengi lakini idadi kubwa ni hawana mchango wowote zaidi ya madudu ref;.Magembe
WanaJF,
Naamini wote tunamfahamu ndugu Kitila Mkumbo kwa wadhifa wake wa uhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika wadhifa wake huo yeye amesimama kwa kiwango cha elimu cha Ph.D na alikuwa akiitwa Dr. Kitila Mkumbo kwa kipindi kirefu kwa