Halafu siku hizi haongei sana kwa kuwa kitu kilichompatia umaarufu, Richmond, kimewekwa kapuni, kwa hiyo mtaji ume-expire?
Hatimaye mpiganaji ameamua kutii Sheria ya Nchi ambayo ameshiriki mwenyewe kuitunga? Halafu siku hizi haongei sana kwa kuwa kitu kilichompatia umaarufu, Richmond, kimewekwa kapuni, kwa hiyo mtaji wa kisiasa ume-expire?
Mi bado namwona ni hero, pamoja na hatimaye kusalimu amri!
Katika kugoma kwake tumefahamu mambo meengi sana ambayo bila kitendo kile wala tusingeyajua, na yangeishia juu kwa juu!
Uanaume ni pamoja na vile, sio unakubali kushikwa tu kama kuku aliyelowa,huh!
of course hilo ndio muhimu kwetu...........Mi bado namwona ni hero, pamoja na hatimaye kusalimu amri!
Katika kugoma kwake tumefahamu mambo meengi sana ambayo bila kitendo kile wala tusingeyajua, na yangeishia juu kwa juu!
Uanaume ni pamoja na vile, sio unakubali kushikwa tu kama kuku aliyelowa,huh!
we kigogo vp???????????????/mi namuona muoga na mjinga kabisa maana mbwembwe zote zile za kuwatunishia misuli PCCB leo anakubali kuhojiwa...hana maana kabisa kabisa
mi namuona muoga na mjinga kabisa maana mbwembwe zote zile za kuwatunishia misuli PCCB leo anakubali kuhojiwa...hana maana kabisa kabisa
wawahoji na kuelewa chanzo cha tatizo ili walifanyie kazi sio iwe ni kuhoji kwa kuwa wao wamehoji ufanisi wa TAKUKURU
Tatizo hilo lipo la kupokea posho mara mbili na halina na kinara wa ufisadi wala nani. wakimaliza kuhoji wabunge waende kuhoji wizara na taasisi za umma zinazolipa wabunge posho huku zikijua kuwa washapewa na ofisi ya bunge.
Nilishawai kusema, hizi posho zinatumika kama girisi kulainisha wabunge ili miswada na taarifa za serikali zipite kiulanini. wacha zipigwe marufuku ili wabunge wawe serious wanapopitia miswada na taarifa mbalimbali za serikali
pamoja na yote, maazimio ya bunge kuhusu mkuu wa TAKUKURU yapo palepale, labda nae akimbilie kustaafu mapema kama wenzie kadhaa
we kigogo vp???????????????/
ulitaka agomee sheria.........
tatizo uelewa.....
yeye hakugoma kuhojiwa.........
aligoma conflict of affairs kati ya pccb na bunge ukizingatia....
ajenda nzito na tuhuma zile zidi ya takukuru.
kuelewa haya ni kazi iwapo umenunuliwa na mafisadi
Very true PJ they are heroes, kwanza hatuna hata uhakika kama waliwahoji kweliMi bado namwona ni hero, pamoja na hatimaye kusalimu amri!
Katika kugoma kwake tumefahamu mambo meengi sana ambayo bila kitendo kile wala tusingeyajua, na yangeishia juu kwa juu!
Uanaume ni pamoja na vile, sio unakubali kushikwa tu kama kuku aliyelowa,huh!
Si hivyo tu mkuu, wakitaka wahoji wafanyakazi wote wa serikali jinsi ambavyo wanapokea posho mara tatu tatu. Hata wakuu kabisa wa wizara na taasisi wanapokea. Huo ni mtindo ambao uko serikalini na hautakaa ukome kabisa. Yaani nashangaa kwa nini tunapoteza muda na posho za kuwahoji hawa watu, eti tunatwangia maji ndani ya kinu??
Nina hakika hao wa PCCB wanaohoji nao wanalipwa posho maalum??!!! Nami ningehoji pia hiyo ni sehemu ya kazi yao na iko covered ndani ya mishahara na hawastahili posho!!! Je watajiteteaje?? Acheni kuleta porojo.
Tunashughulikia pety pety issues badala ya priorities za maoendeleo. Tanzania is termed as poor or least developed or developing country as its authority has chosen to be so!!!! Tanzania is not poor only that we have chosen to be poor!! Hakuna priority za maendeleo.
ya ukweli mtupu..............sisi watz tumepata ambacho hatukutegemea.....faida kubwa kutoka kwa kamati ya mwakyembe.Hivi ni kweli amehojiwa au ni uvumi kuwa amehojiwa? Hata kama amehojiwa, hajawa mwoga na mjinga. Mwoga ni yule anayeogopa kukemea maovu na mjinga ni yule anayedanganganywa kuwa hakuna ufisadi Tanzania na yeye kupiga debe kuwa hakuna.
Si hivyo tu mkuu, wakitaka wahoji wafanyakazi wote wa serikali jinsi ambavyo wanapokea posho mara tatu tatu. Hata wakuu kabisa wa wizara na taasisi wanapokea. Huo ni mtindo ambao uko serikalini na hautakaa ukome kabisa. Yaani nashangaa kwa nini tunapoteza muda na posho za kuwahoji hawa watu, eti tunatwangia maji ndani ya kinu??
Nina hakika hao wa PCCB wanaohoji nao wanalipwa posho maalum??!!! Nami ningehoji pia hiyo ni sehemu ya kazi yao na iko covered ndani ya mishahara na hawastahili posho!!! Je watajiteteaje?? Acheni kuleta porojo.
Tunashughulikia pety pety issues badala ya priorities za maoendeleo. Tanzania is termed as poor or least developed or developing country as its authority has chosen to be so!!!! Tanzania is not poor only that we have chosen to be poor!! Hakuna priority za maendeleo.
ya ukweli mtupu..............sisi watz tumepata ambacho hatukutegemea.....faida kubwa kutoka kwa kamati ya mwakyembe.
tunamuomba mungu atupe akina mwakyembe,selelii,mpendazoe wengine wengi ila asitupe akina zitto maana ni rahisi kununulika kwa vijisenti.............[/QUOTE]
Mkuu unamaanisha kuwepo kwa Zitto kwenye ile kamati ya Bomani (kupitia mikataba ya madini) ilikuwa 'rushwa'??? Je ndio maana hatujaona chochote kilichofanyiwa kazi?????? LOL!
.Nafikiri wamefanya vema kukubali kuhojiwa kama kweli ulichosiia ni sahihi, itasaidia kuziba mianya ya hisia ambazo tungezijenga kwa watu kama mwakyembe kwamba kugoma kuhojiwa ni hofu inayoashiria kujificha dhidi ya uovu fulani.
ikumbukwe tu kwamba TAKUKURU ni chombo kilichoanzishwa kwa mujibu wa sheria ambazo akina mwakyembe na mpendazoe walihusika kuzipitisha kama siyo kuziunda hivyo kuutangazia umma kwamba mtu amegoma kuhojiwa na chombo hicho natumai siyo busara.
mitusi yote hii ya nini ndugu yangu.............................
Aliambiwa tangu mwanzo kuwa hakuna aliyejuu ya sheria?Yeye akaleta u richmond .Ohoo mbona mwenyewe pccb walinipa posho .ohoo.mimi mwanasheria niliye bobea.ohooo mbona waandishi wa habari wanakunywa chai yetu.Ujinga mtupu.Mnakula pesa za wananchi halafu mnajifanya waasafi.Pumbavu.acha sheria ichukue mkondo wake.
, Dk. Harrison Mwakyembe na Fred Mpendazoe, wamehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Takukuru juzi kuhusiana na suala la posho mbili za wabunge.
naomba kuwasilisha