Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

Engneeer

Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
90
Reaction score
121
1000072486.jpg
Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia katika Uislamu kupitia mihadhara yake na mijadala yake anayokuwa anafanya.

Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa mtandaoni, Dk. Zakir Naik amekuwa akifanya mihadhara katika nchi mbalimbali duniani, akijikita katika kulingania dini, kujibu maswali magumu ya kiitikadi, na kutoa ufafanuzi wa Qur’an na Sunnah kwa lugha ya mantiki na ushahidi wa kielimu. Njia yake ya kuwasilisha hoja imewavutia watu wengi wa imani tofauti, hali ambayo imepelekea baadhi yao kuamua kuukubali Uislamu.

Madai haya yamepokelewa kwa hisia mseto. Kwa upande mmoja, wafuasi wake wanamchukulia kama chombo muhimu cha da’wah ya kisasa, wakisisitiza kuwa mafanikio yake yanaonesha nguvu ya mawasiliano sahihi ya dini katika zama za teknolojia. Kwa upande mwingine, wakosoaji wanahoji uhalisia wa takwimu hizo, wakitaka uthibitisho wa wazi na wa kitaasisi juu ya idadi kamili ya waliobadili dini kupitia juhudi zake.

Hata hivyo, bila kujali mjadala unaoendelea kuhusu namba halisi, hakuna shaka kuwa Dk. Zakir Naik amekuwa na athari kubwa katika ulingo wa mazungumzo ya dini na mijadala ya hadhara kimataifa. Mamilioni ya watu wamekuwa wakifuatilia vipindi vyake kupitia televisheni, YouTube na mitandao ya kijamii, jambo linaloonesha ushawishi wake mpana katika jamii ya leo.
 
Kunakichwa kimoja kipo hapa kinamsubiri kione kama ataweza kazi au mnakuza propaganda tu.
 
KWA NINI WAKRISTO WENYE KUJITAMBUA HAWAUTAKI UISLAMU?

Waislamu wamekuwa mahodari sana kutushawishi Wakisto tuufuate uislamu, wakidai kuwa ndiyo imani sahihi, wapo baadhi ya Wakristo walioamua kuufuata uislamu, kwa sababu ya kazi, kuoa, kudangaywa, na wengine wameingia kwenye uislamu kwa kuwa hawaujui vizuri, sasa sisi Ambao tumeusoma Uislamu, tumezinduka tunagoma kuingia kwenye uislamu kwa sababu hizi zifuatazo.

(1) SHETANI NI MUSLAMU

Ni bahati mbaya kwamba Adamu Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINI UK 20)

Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwa shetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswi kushirikiana nae,

Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.

Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambaye aliwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu,sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.

(2) UKIWA MUISLAMU MATAKO TAKO YANAKUWA NI SEHEMU YA SHETANI KUJIBURUDISHA KWA MICHEZO YAKE.

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)

Sasa hiyo adha ya kupulizwa matako na shetani kwa kila unaposali nani anaitaka? Yaani kila ukienda kusali basi shetani yeye yupo matakoni tu, najiuliza hivi shetani ambaye ni muislamu hakuona sehemu nyingine mpaka akomae na matako tu? Kina mama Wa Kiislamu zindukeni, maana Wanaume wao wameshazoea, ndiyo maana hawataki ninyi mwende msikitini ili mpulizwe pamoja nao, hivyo sisi Waristo tunaojitambua, kwa tendo hilo la kupulizwa matakoni na shetani hatuutaki uislamu.

(3) UKIWA MUISLAMU BASI WEWE PUA YAKO INAKUWA KITANDA CHA SHETANI

Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w) alisema “Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizini, basa atawadhe na apandishe maji puani, na apenge mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya tundu za pua yake” (Bukhari, Hadithi na. 516, juzuu ya 4)

Hivi ni Mkristo gani mwenye kujitambua ambaye yupo tayari kuwa muislamu, ili pua yake ikawe godoro la shetani? Bila shaka hakuna, hivyo sisi Wakristo tunaojitamua hatuutaki uislamu.

(4) KWENYE UISLAMU NI RUKSA KUOA VITOTO VYAMIAKA SITA NA KUVIINGILIA VIKIWA NA MIAKA TISA,

Hadithi ya Aisha (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amenioa nikiwa binti wa miaka sita, tukaja Madina tukafikia kwa Ban Al-Harith Khazraji nikapatwa na homa kali sana mpaka nywele zangu zikakatika katika baadae zikaja kuwa nyingi, Akanijia mama yangu Ummu Ruuman, akanikuta niko katika pembeya nikiwa na rafiki zangu, akaniita kwa sauti ya ukali, nikamwendea hata nisijue anachoniitia akanishika mkono mpaka akanifikisha mlangoni huku nina hema mpaka zilipotulia pumzi zangu akachukua maji akaanza kunifuta kwa maji hayo uso wangu na kichwa changu kisha akaniingiza ndani nikawakuta wanawake wa kiansari mle ndani wakasema, “uwe juu ya kheri na Baraka na uwe juu ya ndege bora, akanikabidhi kwao wakaniweka vizuri, sikustuka isipokuwa alipofika Mtume (s.a.w) asubuhi mama yangu akanikabidhi kwake, nami siku hiyo nilikuwa ni mschana wa miaka tisa” (BUKHARI, HADITHI NA. 234, Juzuu ya 5)

Sasa kama katika uislamu ufataki ni ruksa yaani mzee wa miaka 54 anaruhusiwa kuoa kitoto cha miaka sita, hivi kuna haja gani ya Mkristo kujiingiza kwenye Ufataki (UISLAMU) na kuanza kuharibu vitoto vya miaka sita? Yaani badala ya kufikiria Elimu kwa mtoto wako, huyo wa miaka sita, unafikiria kumuozesha kwa mzee wa miaka 54, kwa stahili hiyo sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki uslamu.

(5) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD ALIROGWA

Hadithi ya Aisha (r.a) amesema Mtume (s.a.w) alirogwa, mpaka akawa anaona kama anawaingilia wakeze na hali ya kuwa hawaingilii sufiyan mmoja wa wapokezi wa hadhithi hii amesema ndiyo uchawi mbaya mno unapokuwa namna hivi… (Alu-lu-lu wal-marjan, uk 822, hadithi na. 1412)

(6) HAATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA QURAN NI KITABU KINACHOTUMIKA KUFANYA UCHAWI

Mchawi huandika moja ya sura katika Quran au baadhi ya za Quran kwa kutumia damu ya hedhi au kutumia uchafu mwingine wowote, kama vile kinyesi cha binadamu, wanyama, kisha mchawi anasoma tarasimu ya kishirikina shetani wa kijini utokea na mchawi humuomba msaada wa jambo analolitaka, na huyo jini hukubaliana nae kwa mashariti watakayo kubaliana (Kitabu cha sina za majini, UK9)

(7) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD HAJUI KAMA ATAINGIA PEPONI AU MOTONI

Qur’an 46;9 (Surat Al-Ahqaf) Sema; mimi si kiroja (mpya) katika mitume wala sijui nitakavyofanywa, wala mtakavyofanywa ninyi, sifuati yaliyofunuliwa kwangu, sikuwa mie lolote, ila ni muonyaji tu ninayedhihirisha.

Hadithi ya Abu Huraira (r.a) amesema, Mtume wa Allah (s.a.w) amesema, “Hakuna yeyote miongoni mwenu atayeokolewa na amali yake” Wakasema hata wewe mtume wa Allah? Mtume (S.A.W) akasema, “Wala mimi isipokuwa anifunike Allah kwa rehema zake; hivyo fanyeni amali njema kwa uadilifu” (Bukhari Hadithi Na. 470, Juzuu ya 8)

Hadithi ya Aisha kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema, “Fanyeni yaliyo sahihi na yatekelezeni, na furahini kwa kuwa hakuna yeyote atakayeingiziwa peponi kwa amali (matendo) yake” Wakauliza ‘hata wewe mtume wa Allah?’ Mtume (s.a.w) akasema, ‘Hata mimi isipokuwa kama Allah atanifunika kwa rehema zake” (Bukhari Hadihthi Na. 474, Juzuu ya 8)

Sasa kama mtume mwenyewe hajui hatima yake siku ya mwisho kuna haja gani Wakristo tunaojitamua kuufuata UISLAMU? Yaani tumwache Yesu mwenye uhakika na watu wake na kile atakachowapa wanaomfuata

Yohana 10;27-28

27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata. 28 Nami nawapa uzima wa milele, wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.

Eti tuufuate Uislamu chini ya kiongozi Muhammad ambaye hajui hatima yake kama ataenda peponi, au ataenda motoni, bila shaka kwa Mkristo anayejitambua hawezi kuwa Muislamu.

(8) HATUUTAKI UISLAMU KWA KWA KUWA MUNGU ANAE ABUDIWA NA WAISLAMU ANAISHIA JAHANAMU

Hadithi ya Anas Ibni Malik (r.a) kuwa Mtume (s.a.w) amesema jahanamu itaendelea kusema, “Je, kuna nyongeza”? Mpaka Allah atakapoweka humo unyayo wake na hapo utasema, Qat Qat (inatosha inatosha) naapa kwa nguvu zako na zile sehemu zake nyingine zitakaribiana na kuwa pamoja” (Bukhari Hadithi Na. 654, Juzuu ya 9)

(9) HATUUTAKI UISLAMU KWA SABABU UNARUHUSU KUTUMIA UONGO KATIKA KUENEZA DINI.

Kasema Mtume (s.a.w) “Uwongo wote ni dhambi ila kwa kile kinachomfaa muislamu kwa jambo la kheri, unaweza kutumia uongo kupatanisha watu waliokhasimisna au katika jambo litakaloleta kheri na manufaa kwa waislamu” (Mkweli Mwaminifu, juu ya 3-4, Hadithi Na. 855, Uk 57)

(10) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA HAUFUNDISHI UPENDO BALI NI CHUKI TU KWA WASIOKUWA WAISLAMU.

Qur’an 5;51 (Surat AL-Maidah) Enyi mlioamini msiwafanye mayahudi na Wakristo kuwa marafiki zenu wao kwa wao ni marafiki. Na miongoni mwenu atakayefanya urafiki huo nao basi huyo atakuwa pamoja nao, Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu madhalimu.

Hivyo kwa Mkristo anaejitambua hawezi kukubali kabisa kuufuata uislamu ili awe na roho mbaya ya kinyama isiyokuwa na huruma na watu wasiokua wa imani yake.
 
Kunakichwa kimoja kipo hapa kinamsubiri kione kama ataweza kazi au mnakuza propaganda

Kwa akili zako huwezi kuelewa jambo lolote ivo tulizana tu pamoja na matusi yako yote hukumu yako ipo niko pale
 
Acha kejeri za kipumbavu kwa makafir wenzio, kwahiyo hao wakristo wasiojitambua ndo kina nani? Wewe umevamia dini yao hapa juz juz lakn unajifanya kama wewe ndo askofu
 
Kuna Prince wa Kuwait yeye amefanya viceversa hivyo kazi yake ni bure kabisa.
 
Usiniletee mikwara mbuzi hapa.
Imekuuma et kaaa tulia dawa ikuingie tatizo mnaiga sana hamjui hata namna ya kuish na jamii ila dini ya uislam imefundisha kila ktu alafu kile ulichokisema kuhusu mtume Muhammad (Rehema na amani za Allah ziwe kwake) ni kwamba alipitia yote hayo kutuonesha namna gani ya kuish katika jamii sio kikitokea kwako utaona kama maajabu usidhan yote yaliyokuwa yanamtokea Allah hakuwa na uwez wa kumsaidia yamefanyia yote hayo kutupa mbinu za kuyaish katika maisha yetu upo kijana
JITAMBUE DINI YA KWELI MBELE YA MWENYEZI MUNGU NI UISLAM IZO NYINGNE NI DINI ZA BIASHARA TU
 
Sijajua Kuna tatizo gani na waamini wa dini ya mwarabu.
Dini ya siku nyiingi ila hainavuto Sasa wanatumia maguvunkuieneza( jihad) ukiiacha unakatwa kichwa, wanatumia pesa kuwanunua watu maarufu wa zamani waliofulia kama mike Tyson lakini wamegonga mwamba kwa Ronaldo. Wanatumia propaganda za kitoto Sana Lenexa na wakati wa wold cup iliyofanyika kuko Qartar walimwalika huyo muindi kafiri eti kuja kusilimisha watu. Kwao Lile kombe halikuwa burudani Bali uwanja wa propaganda wa kueneza dini ya akina MAKATA. Sasa matarajio yake yalikwenda tofauti kwani alikutana na chuma kimoja dada MKRISTU wa kiafrika alimtoa jadho na yeye kuanza kupanic na kupayuka kama kawaida yake. sikiliza video hapa chini. Huyu Hana tofauti na Mazinge ni kelele na vihoja vya kitoto tena vya kizamani ambavyo allishajibiwa kwa usahihi na maprofesa simba ulanga, massawe, ndacha nk. Mara nyingi hutegemea kelele za wafuasi wao wanaohudhuria kwa wingi na ubabe pale unapombana kwa hoja

View: https://youtu.be/EpimLphXVmA?si=jiFKiUraS_MVTDzv
 
View attachment 3534167Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia katika Uislamu kupitia mihadhara yake na mijadala yake anayokuwa anafanya.

Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa mtandaoni, Dk. Zakir Naik amekuwa akifanya mihadhara katika nchi mbalimbali duniani, akijikita katika kulingania dini, kujibu maswali magumu ya kiitikadi, na kutoa ufafanuzi wa Qur’an na Sunnah kwa lugha ya mantiki na ushahidi wa kielimu. Njia yake ya kuwasilisha hoja imewavutia watu wengi wa imani tofauti, hali ambayo imepelekea baadhi yao kuamua kuukubali Uislamu.

Madai haya yamepokelewa kwa hisia mseto. Kwa upande mmoja, wafuasi wake wanamchukulia kama chombo muhimu cha da’wah ya kisasa, wakisisitiza kuwa mafanikio yake yanaonesha nguvu ya mawasiliano sahihi ya dini katika zama za teknolojia. Kwa upande mwingine, wakosoaji wanahoji uhalisia wa takwimu hizo, wakitaka uthibitisho wa wazi na wa kitaasisi juu ya idadi kamili ya waliobadili dini kupitia juhudi zake.

Hata hivyo, bila kujali mjadala unaoendelea kuhusu namba halisi, hakuna shaka kuwa Dk. Zakir Naik amekuwa na athari kubwa katika ulingo wa mazungumzo ya dini na mijadala ya hadhara kimataifa. Mamilioni ya watu wamekuwa wakifuatilia vipindi vyake kupitia televisheni, YouTube na mitandao ya kijamii, jambo linaloonesha ushawishi wake mpana katika jamii ya leo.
Huyu ni mhalifu anaishi uhamishoni Malaysia. Serikali ya India inamshtaki kwa makosa ya utakatisaji wa fedha na makosa mengine.
Kwa nini wahalifu ndiyo huwa role model wa Waislam?

Badala ujibu hoja wewe unaleta porojo,nioneshe matusi au tusi ,nipo tayari nipigwe bani ya maisha na jf

Nimeweka hoja kwa maandiko yenu, badala ujibu hoja wewe unaleta porojoView attachment 3534320
Elewa mada mjomba
Qur’an 7:27
Hakika yeye (Shetani) anakuoneni yeye na kabila yake, hali nyinyi hamwaoni.
Unatumia uelewa wa daresa la kwanza kujibu hoja za msingi
Shetani hutumia fursa kumtawala mwanadamu yyt pindipo amelala
Haijalish ni wewe au mimi

Hapa ni kipindi ibirisi kafukuzwa katika pepo yake Allah na ibris akamjibu Mwenyez Mungu kwa kusema

Qur’an 17:62
Akasema (Ibilisi): ‘Je, huyu ndiye uliyemtukuza kuliko mimi?
Ukiniakhirisha mpaka Siku ya Kiyama,
nitawadhibiti wazawa wake, isipokuwa wachache.’”
Qur’an 17:62
Nitamvamia kwa sauti yangu, na kwa farasi wangu na askari wangu…
Means atamfanya mwanadam chochote atakacho kwan ana uwezo wa kumuingilia popote atakapo

UMEELEWA HAPO MJOMBA

Kwahiyo sisi lengo la kuamka tukapata udhu ni kujiweka mbali na shetani asitudhuru kwa chochote sasa niambie nyie mkiamka mnafanyaje 😂
 
Shetani anafanya nini kwenye pua zenu?

Muhamad ameeleza directly wewe unaleta porojo
FB_IMG_1768452550631.jpg
 
Binafsi Nina amini kwamba hakuna swali ambalo halina jibu mbele ya uislamu, uislamu ni dini ambayo imekamilika kikamilifu, utakachotaka chochote kimeshaelezwa hata baaada ya maendeleo haya ya technology
 
Sahihi 100%
 
Back
Top Bottom