Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

Mbona hapa yesu anakana kuwa yeye sio Mungu?
Maandiko ambayo Yesu anaonyesha kuwa si Mungu
1. Yesu anamwita Mungu wake
📖 Yohana 20:17
“Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba wenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
👉 Kama Yesu ana Mungu wake, basi anajitofautisha na Mungu.
2. Yesu anasema Baba ni mkuu kuliko yeye
📖 Yohana 14:28
“Kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.”
👉 Hii inaonyesha tofauti ya mamlaka.
3. Yesu anaomba kwa Mungu
📖 Mathayo 26:39
“Baba yangu, ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke…”
👉 Kuomba ni ishara ya utegemezi kwa Mungu.
4. Yesu hakujua mambo yote
📖 Marko 13:32
“Lakini siku ile au saa ile hakuna ajuaye… wala Mwana, ila Baba.”
👉 Mungu hujua yote, lakini Yesu hapa anaonyesha mipaka ya maarifa.
5. Yesu anasema ametumwa
📖 Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.”
👉 Anamtaja Baba kama Mungu wa pekee wa kweli.
Hakuna anapokana ni uelewa wako tu

Yesu ni Mungu pamoja nasi

Ni Mungu aliyefanyika mwanadamu

Hizo Aya zote ulizoleta ni Yesu akiwa katika ubinadamu

Kwakuwa umeleta biblia means unaiamini si ndio ?

Usije kusema mbeleni imechakachuliwa

Soma hapa utaelewa 👇👇

Waebrania 1
1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,

2 mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

3 Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;

4 amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

5 Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena, Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?

8 Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi,Mungu,ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.

9 Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
 
Mtume Muhammad s.a.w ndio aliekuja kukamilisha dini ya kiislamu kabla ya hapo watu walikuwa wakiishi kwa misingi ya Mungu mmoja kutoka kwa baba wa imani Ibrahim....so uislamu ulikuwepo ndio maana hata yesu alikuwa akifanya ibada sawa na waislamu ila Muhammad s.a.w ndio alikuwa wa mwisho kukamilisha dini
hata wahindu au wayahudi huwa wanaamini mungu ni mmoja
 
Mbona hapa yesu anakana kuwa yeye sio Mungu?
Maandiko ambayo Yesu anaonyesha kuwa si Mungu
1. Yesu anamwita Mungu wake
📖 Yohana 20:17
“Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba wenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
👉 Kama Yesu ana Mungu wake, basi anajitofautisha na Mungu.
2. Yesu anasema Baba ni mkuu kuliko yeye
📖 Yohana 14:28
“Kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.”
👉 Hii inaonyesha tofauti ya mamlaka.
3. Yesu anaomba kwa Mungu
📖 Mathayo 26:39
“Baba yangu, ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke…”
👉 Kuomba ni ishara ya utegemezi kwa Mungu.
4. Yesu hakujua mambo yote
📖 Marko 13:32
“Lakini siku ile au saa ile hakuna ajuaye… wala Mwana, ila Baba.”
👉 Mungu hujua yote, lakini Yesu hapa anaonyesha mipaka ya maarifa.
5. Yesu anasema ametumwa
📖 Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.”
👉 Anamtaja Baba kama Mungu wa pekee wa kweli.
Kwahiyo kama unazikubali hizo nukuu na hiyo ya kujiita mwana wa mungu unaiamini?
 
Tafadhali soma kwa umakini


1. Mwenyezi Mungu ndiye mwanzilishi wa Uislamu
Uislamu maana yake ni kujinyenyekeza kwa Mungu mmoja.
Hii ndiyo dini ambayo Mungu aliwaamrisha wanadamu wote tangu mwanzo.
📖 Qur’an 3:19
“Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.”
📖 Qur’an 42:13
“Amekuwekea dini aliyomuusia Nuhu, na aliyokufunulia wewe (Muhammad), na aliyomuusia Ibrahim, Musa na Isa…”
➡️ Inaonyesha dini ni moja, wajumbe ni wengi.
2. Nabii Adam alikuwa Muslim wa kwanza
📖 Qur’an 2:37 inaonyesha Adam alitubia kwa Mungu mmoja. ➡️ Hivyo Adam alikuwa mnyenyekevu kwa Mungu = Muslim.
3. Manabii wote walikuwa Waislamu kwa ujumbe
Nuhu
Ibrahim (Abraham)
Musa (Moses)
Isa (Yesu)
Muhammad (ﷺ)
📖 Qur’an 3:67
“Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa Muislamu, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu.”
4. Kazi ya Nabii Muhammad (ﷺ) ilikuwa nini?
Nabii Muhammad:
Hakuanzisha dini
Alitumwa kuhuisha na kukamilisha ujumbe wa Uislamu
📖 Qur’an 33:40
“Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na muhuri wa Manabii.”
📖 Hadith (Bukhari & Muslim)
“Mfano wangu na manabii kabla yangu ni kama jengo… mimi ndiye jiwe la mwisho.”
5. Kwa nini watu husema Uislamu ulianza karne ya 7?
Hii ni kwa sababu:
Uislamu kama mfumo kamili wa sheria (Sharia)
Qur’an iliteremshwa
Ummah wa Kiislamu uliundwa
vyote vilitokea kupitia Muhammad (ﷺ) mwaka 610 BK.
Lakini huo ni utekelezaji wa mwisho, si mwanzo wa ujumbe.
Unajikanyaga sana sasa kama Mohammad alikuja kuukamilisha uislamu unataka kuniambia adhana hii tunayoiona ilianzishwa na nani?Kama kuamini mungu mmoja Ndio unakuwa muislamu mbona wayahudi na wahindu wanaamini hivyo?
 
Nakuuliza unajua maana ya uislamu?
Anyway.
Adam
Nuhu
Ibrahim
ISsa

Hawa ni waislamu walikuwepo kabla ya Muhammad s.a.w
Inamaana wakati Mohammad yupo mtoto hajaanza utume alikuwepo muislam yeyote duniani kwa wakati huo?
 
Acha kejeri za kipumbavu kwa makafir wenzio, kwahiyo hao wakristo wasiojitambua ndo kina nani? Wewe umevamia dini yao hapa juz juz lakn unajifanya kama wewe ndo askofu
Sasa kejeri za kipumbavu kivipi wakati hoja zake ametoa kwenye nukuu ya vitabu vya dini yenu? Ina maana dini ya mnyaazi mungu inatukana?
 
Kuna Prince wa Kuwait yeye amefanya viceversa hivyo kazi yake ni bure kabisa.
Mmoja kwa elfu moja halafu unasema bure?
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye wa......
 
Back
Top Bottom