Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:

Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro akajibu, "Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai." Yesu alimpongeza kwa kuujua ukweli huo, akamwambia kuwa amefunuliwa na Baba wa mbinguni.

Asiyeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu hana uzima
Yohana 3:36
"Amwaminiye Mwana anao uzima wa milele; asiye mwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia."

1 Yohana 2:23
"Kila amkanaye Mwana, hana Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia."

Yesu alisulibiwa, alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu ili sisi tupate wokovu.
Ili mtu apate wokovu ni lazima akiri kama ilivyoandikwa katika
Warumi 10:9
"Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka."

Yesu Kristo ni Alfa na Omega; ni wa milele.
Katika Ufunuo 22:13 – Yesu anasema, "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho." Hakuna nabii yeyote anayeweza kusema maneno hayo.

Yesu Kristo ana mamlaka ya kusamehe dhambi
Katika Marko 2:5-7 – Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "Mwanangu, umesamehewa dhambi zako." Mafarisayo walishangaa, wakisema, "Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

Katika Ufunuo 19:16 – Yesu anaitwa Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana, hadhi ambayo manabii wa kawaida hawakuwa nayo.
Kwaiyo kaka unataka kusema yesu ni Mungu?
 
Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:

Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro akajibu, "Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai." Yesu alimpongeza kwa kuujua ukweli huo, akamwambia kuwa amefunuliwa na Baba wa mbinguni.

Asiyeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu hana uzima
Yohana 3:36
"Amwaminiye Mwana anao uzima wa milele; asiye mwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia."

1 Yohana 2:23
"Kila amkanaye Mwana, hana Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia."

Yesu alisulibiwa, alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu ili sisi tupate wokovu.
Ili mtu apate wokovu ni lazima akiri kama ilivyoandikwa katika
Warumi 10:9
"Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka."

Yesu Kristo ni Alfa na Omega; ni wa milele.
Katika Ufunuo 22:13 – Yesu anasema, "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho." Hakuna nabii yeyote anayeweza kusema maneno hayo.

Yesu Kristo ana mamlaka ya kusamehe dhambi
Katika Marko 2:5-7 – Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "Mwanangu, umesamehewa dhambi zako." Mafarisayo walishangaa, wakisema, "Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

Katika Ufunuo 19:16 – Yesu anaitwa Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana, hadhi ambayo manabii wa kawaida hawakuwa nayo.
Mbona hapa yesu anakana kuwa yeye sio Mungu?
Maandiko ambayo Yesu anaonyesha kuwa si Mungu
1. Yesu anamwita Mungu wake
📖 Yohana 20:17
“Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba wenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
👉 Kama Yesu ana Mungu wake, basi anajitofautisha na Mungu.
2. Yesu anasema Baba ni mkuu kuliko yeye
📖 Yohana 14:28
“Kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.”
👉 Hii inaonyesha tofauti ya mamlaka.
3. Yesu anaomba kwa Mungu
📖 Mathayo 26:39
“Baba yangu, ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke…”
👉 Kuomba ni ishara ya utegemezi kwa Mungu.
4. Yesu hakujua mambo yote
📖 Marko 13:32
“Lakini siku ile au saa ile hakuna ajuaye… wala Mwana, ila Baba.”
👉 Mungu hujua yote, lakini Yesu hapa anaonyesha mipaka ya maarifa.
5. Yesu anasema ametumwa
📖 Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.”
👉 Anamtaja Baba kama Mungu wa pekee wa kweli.
 
Hahahaha sawa bikra maria ni nani?
Kaka acha kucheka Cheka hapa

Mimi na wewe ikitokea majina ya mama zetu yakafanana ndo mimi na wewe tumekuwa mtu moja?

Kwahiyo Mimi mama yangu akiitwa ashura na wewe mama yako akawa anaitwa ashura basi mimi na wewe na mtu mmoja?

Issa kazaliwa jangwani chini ya mtende
. YESU KRISTO kazaliwa kwenye hori ya la mifugo

Sasa kuanzia lini mtu mmoja akazaliwa sehemu mbili tofaut?
 
Kaka acha kucheka Cheka hapa

Mimi na wewe ikitokea majina ya mama zetu yakafanana ndo mimi na wewe tumekuwa mtu moja?

Kwahiyo Mimi mama yangu akiitwa ashura na wewe mama yako akawa anaitwa ashura basi mimi na wewe na mtu mmoja?

Issa kazaliwa jangwani chini ya mtende
. YESU KRISTO kazaliwa kwenye hori ya la mifugo

Sasa kuanzia lini mtu mmoja akazaliwa sehemu mbili tofaut?
Hahahhaa hahahaha
 
We jamaa

Mimi nachomaanisha mkuu hujanielewa nasema ukifa na imani isiyo ya kiislam yan ukafa nje ya uislam basi wewe ni motoni milele
Ushahidi wa maneno ya Mwenyezi Mungu kutoka Quran

Qur’an 3:85
“Na atakayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake,
na yeye Akhera atakuwa miongoni mwa waliokhasiri.”

Qur’an 2:39
“Na wale waliokufuru na wakazikanusha aya zetu,
hao ndio watu wa Motoni,
watakaa humo milele.”

Haya huwezi kuyaelewa mpaka uwe na iman na umwamini Mwenyezi Mungu kikamilifu mkuu hatutishani wala hatuhukumiani ila tunaweka ukweli bayana
Usipokua muislam ukifa ni motoni milele?
Unasema hayo ni maneno ya Mungu kupitia Quran, una ushahidi upi kuwa hayo ni maneno ya Mungu? Kwa nn unasema Quran ni maneno ya Mungu?
 
KWA NINI WAKRISTO WENYE KUJITAMBUA HAWAUTAKI UISLAMU?

Waislamu wamekuwa mahodari sana kutushawishi Wakisto tuufuate uislamu, wakidai kuwa ndiyo imani sahihi, wapo baadhi ya Wakristo walioamua kuufuata uislamu, kwa sababu ya kazi, kuoa, kudangaywa, na wengine wameingia kwenye uislamu kwa kuwa hawaujui vizuri, sasa sisi Ambao tumeusoma Uislamu, tumezinduka tunagoma kuingia kwenye uislamu kwa sababu hizi zifuatazo.

(1) SHETANI NI MUSLAMU

Ni bahati mbaya kwamba Adamu Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINI UK 20)

Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwa shetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswi kushirikiana nae,

Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.

Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambaye aliwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu,sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.

(2) UKIWA MUISLAMU MATAKO TAKO YANAKUWA NI SEHEMU YA SHETANI KUJIBURUDISHA KWA MICHEZO YAKE.

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)

Sasa hiyo adha ya kupulizwa matako na shetani kwa kila unaposali nani anaitaka? Yaani kila ukienda kusali basi shetani yeye yupo matakoni tu, najiuliza hivi shetani ambaye ni muislamu hakuona sehemu nyingine mpaka akomae na matako tu? Kina mama Wa Kiislamu zindukeni, maana Wanaume wao wameshazoea, ndiyo maana hawataki ninyi mwende msikitini ili mpulizwe pamoja nao, hivyo sisi Waristo tunaojitambua, kwa tendo hilo la kupulizwa matakoni na shetani hatuutaki uislamu.

(3) UKIWA MUISLAMU BASI WEWE PUA YAKO INAKUWA KITANDA CHA SHETANI

Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w) alisema “Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizini, basa atawadhe na apandishe maji puani, na apenge mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya tundu za pua yake” (Bukhari, Hadithi na. 516, juzuu ya 4)

Hivi ni Mkristo gani mwenye kujitambua ambaye yupo tayari kuwa muislamu, ili pua yake ikawe godoro la shetani? Bila shaka hakuna, hivyo sisi Wakristo tunaojitamua hatuutaki uislamu.

(4) KWENYE UISLAMU NI RUKSA KUOA VITOTO VYAMIAKA SITA NA KUVIINGILIA VIKIWA NA MIAKA TISA,

Hadithi ya Aisha (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amenioa nikiwa binti wa miaka sita, tukaja Madina tukafikia kwa Ban Al-Harith Khazraji nikapatwa na homa kali sana mpaka nywele zangu zikakatika katika baadae zikaja kuwa nyingi, Akanijia mama yangu Ummu Ruuman, akanikuta niko katika pembeya nikiwa na rafiki zangu, akaniita kwa sauti ya ukali, nikamwendea hata nisijue anachoniitia akanishika mkono mpaka akanifikisha mlangoni huku nina hema mpaka zilipotulia pumzi zangu akachukua maji akaanza kunifuta kwa maji hayo uso wangu na kichwa changu kisha akaniingiza ndani nikawakuta wanawake wa kiansari mle ndani wakasema, “uwe juu ya kheri na Baraka na uwe juu ya ndege bora, akanikabidhi kwao wakaniweka vizuri, sikustuka isipokuwa alipofika Mtume (s.a.w) asubuhi mama yangu akanikabidhi kwake, nami siku hiyo nilikuwa ni mschana wa miaka tisa” (BUKHARI, HADITHI NA. 234, Juzuu ya 5)

Sasa kama katika uislamu ufataki ni ruksa yaani mzee wa miaka 54 anaruhusiwa kuoa kitoto cha miaka sita, hivi kuna haja gani ya Mkristo kujiingiza kwenye Ufataki (UISLAMU) na kuanza kuharibu vitoto vya miaka sita? Yaani badala ya kufikiria Elimu kwa mtoto wako, huyo wa miaka sita, unafikiria kumuozesha kwa mzee wa miaka 54, kwa stahili hiyo sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki uslamu.

(5) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD ALIROGWA

Hadithi ya Aisha (r.a) amesema Mtume (s.a.w) alirogwa, mpaka akawa anaona kama anawaingilia wakeze na hali ya kuwa hawaingilii sufiyan mmoja wa wapokezi wa hadhithi hii amesema ndiyo uchawi mbaya mno unapokuwa namna hivi… (Alu-lu-lu wal-marjan, uk 822, hadithi na. 1412)

(6) HAATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA QURAN NI KITABU KINACHOTUMIKA KUFANYA UCHAWI

Mchawi huandika moja ya sura katika Quran au baadhi ya za Quran kwa kutumia damu ya hedhi au kutumia uchafu mwingine wowote, kama vile kinyesi cha binadamu, wanyama, kisha mchawi anasoma tarasimu ya kishirikina shetani wa kijini utokea na mchawi humuomba msaada wa jambo analolitaka, na huyo jini hukubaliana nae kwa mashariti watakayo kubaliana (Kitabu cha sina za majini, UK9)

(7) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD HAJUI KAMA ATAINGIA PEPONI AU MOTONI

Qur’an 46;9 (Surat Al-Ahqaf) Sema; mimi si kiroja (mpya) katika mitume wala sijui nitakavyofanywa, wala mtakavyofanywa ninyi, sifuati yaliyofunuliwa kwangu, sikuwa mie lolote, ila ni muonyaji tu ninayedhihirisha.

Hadithi ya Abu Huraira (r.a) amesema, Mtume wa Allah (s.a.w) amesema, “Hakuna yeyote miongoni mwenu atayeokolewa na amali yake” Wakasema hata wewe mtume wa Allah? Mtume (S.A.W) akasema, “Wala mimi isipokuwa anifunike Allah kwa rehema zake; hivyo fanyeni amali njema kwa uadilifu” (Bukhari Hadithi Na. 470, Juzuu ya 8)

Hadithi ya Aisha kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema, “Fanyeni yaliyo sahihi na yatekelezeni, na furahini kwa kuwa hakuna yeyote atakayeingiziwa peponi kwa amali (matendo) yake” Wakauliza ‘hata wewe mtume wa Allah?’ Mtume (s.a.w) akasema, ‘Hata mimi isipokuwa kama Allah atanifunika kwa rehema zake” (Bukhari Hadihthi Na. 474, Juzuu ya 8)

Sasa kama mtume mwenyewe hajui hatima yake siku ya mwisho kuna haja gani Wakristo tunaojitamua kuufuata UISLAMU? Yaani tumwache Yesu mwenye uhakika na watu wake na kile atakachowapa wanaomfuata

Yohana 10;27-28

27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata. 28 Nami nawapa uzima wa milele, wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.

Eti tuufuate Uislamu chini ya kiongozi Muhammad ambaye hajui hatima yake kama ataenda peponi, au ataenda motoni, bila shaka kwa Mkristo anayejitambua hawezi kuwa Muislamu.

(8) HATUUTAKI UISLAMU KWA KWA KUWA MUNGU ANAE ABUDIWA NA WAISLAMU ANAISHIA JAHANAMU

Hadithi ya Anas Ibni Malik (r.a) kuwa Mtume (s.a.w) amesema jahanamu itaendelea kusema, “Je, kuna nyongeza”? Mpaka Allah atakapoweka humo unyayo wake na hapo utasema, Qat Qat (inatosha inatosha) naapa kwa nguvu zako na zile sehemu zake nyingine zitakaribiana na kuwa pamoja” (Bukhari Hadithi Na. 654, Juzuu ya 9)

(9) HATUUTAKI UISLAMU KWA SABABU UNARUHUSU KUTUMIA UONGO KATIKA KUENEZA DINI.

Kasema Mtume (s.a.w) “Uwongo wote ni dhambi ila kwa kile kinachomfaa muislamu kwa jambo la kheri, unaweza kutumia uongo kupatanisha watu waliokhasimisna au katika jambo litakaloleta kheri na manufaa kwa waislamu” (Mkweli Mwaminifu, juu ya 3-4, Hadithi Na. 855, Uk 57)

(10) HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA HAUFUNDISHI UPENDO BALI NI CHUKI TU KWA WASIOKUWA WAISLAMU.

Qur’an 5;51 (Surat AL-Maidah) Enyi mlioamini msiwafanye mayahudi na Wakristo kuwa marafiki zenu wao kwa wao ni marafiki. Na miongoni mwenu atakayefanya urafiki huo nao basi huyo atakuwa pamoja nao, Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu madhalimu.

Hivyo kwa Mkristo anaejitambua hawezi kukubali kabisa kuufuata uislamu ili awe na roho mbaya ya kinyama isiyokuwa na huruma na watu wasiokua wa imani yake.
Mkuu unaonekana kufahamu Uislam kuliko waislam wenyewe.
 
Imekuuma et kaaa tulia dawa ikuingie tatizo mnaiga sana hamjui hata namna ya kuish na jamii ila dini ya uislam imefundisha kila ktu alafu kile ulichokisema kuhusu mtume Muhammad (Rehema na amani za Allah ziwe kwake) ni kwamba alipitia yote hayo kutuonesha namna gani ya kuish katika jamii sio kikitokea kwako utaona kama maajabu usidhan yote yaliyokuwa yanamtokea Allah hakuwa na uwez wa kumsaidia yamefanyia yote hayo kutupa mbinu za kuyaish katika maisha yetu upo kijana
JITAMBUE DINI YA KWELI MBELE YA MWENYEZI MUNGU NI UISLAM IZO NYINGNE NI DINI ZA BIASHARA TU
Hovyo kabisa siwezi kuwa mfuasi wa Mudy hata siku moja, mtu anayependa ngono kuliko chakula, alikabaka kabinti ka watu ka miaka 9 si dhambi hizo!
 
Hovyo kabisa siwezi kuwa mfuasi wa Mudy hata siku moja, mtu anayependa ngono kuliko chakula, alikabaka kabinti ka watu ka miaka 9 si dhambi hizo!
Qur’an 25:63
Na waja wa Mwingi wa Rehema ni wale wanaotembea juu ya ardhi kwa unyenyekevu,
na wajinga wanapowasema (kwa matusi),
wao husema: ‘Salama.
 
View attachment 3534167Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia katika Uislamu kupitia mihadhara yake na mijadala yake anayokuwa anafanya.

Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa mtandaoni, Dk. Zakir Naik amekuwa akifanya mihadhara katika nchi mbalimbali duniani, akijikita katika kulingania dini, kujibu maswali magumu ya kiitikadi, na kutoa ufafanuzi wa Qur’an na Sunnah kwa lugha ya mantiki na ushahidi wa kielimu. Njia yake ya kuwasilisha hoja imewavutia watu wengi wa imani tofauti, hali ambayo imepelekea baadhi yao kuamua kuukubali Uislamu.

Madai haya yamepokelewa kwa hisia mseto. Kwa upande mmoja, wafuasi wake wanamchukulia kama chombo muhimu cha da’wah ya kisasa, wakisisitiza kuwa mafanikio yake yanaonesha nguvu ya mawasiliano sahihi ya dini katika zama za teknolojia. Kwa upande mwingine, wakosoaji wanahoji uhalisia wa takwimu hizo, wakitaka uthibitisho wa wazi na wa kitaasisi juu ya idadi kamili ya waliobadili dini kupitia juhudi zake.

Hata hivyo, bila kujali mjadala unaoendelea kuhusu namba halisi, hakuna shaka kuwa Dk. Zakir Naik amekuwa na athari kubwa katika ulingo wa mazungumzo ya dini na mijadala ya hadhara kimataifa. Mamilioni ya watu wamekuwa wakifuatilia vipindi vyake kupitia televisheni, YouTube na mitandao ya kijamii, jambo linaloonesha ushawishi wake mpana katika jamii ya leo.
Subiria matusi ya wakristo
 
Back
Top Bottom