Dr Zakir Naik adaiwa kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia kwenye Uislamu duniani

Unataka andiko Gani kuwa specific
Nanukuu kauli yako ,👇👇. NAOMBA USHAHIDI WA YESU KUSEMA HAYA MANENO

"Na yesu mwenyewe alisema atakuja mtume wa mwisho na ndio atakamilisha kila kitu, sasa hata biblia inajua mjumbe wa mwisho ni mtume Muhammad,"
 
Kwahiyo Muhammad alipokuja hakukutana na muislamu au waislamu wa kabla yake hata mmoja tu ?

Yaani ALIKUTA waislamu wa kabla yake wamekufa wote?

Elewa swali
Hahahaha kaka kwanza unajua maana ya uislamu?? Wewe unaelewa Nini maana ya uislamu? Mana hata adamu alikuwa muislamu tuanze hapo kwanza unaelewaje kuhusu uislamu?
 
Nanukuu kauli yako ,👇👇. NAOMBA USHAHIDI WA YESU KUSEMA HAYA MANENO

"Na yesu mwenyewe alisema atakuja mtume wa mwisho na ndio atakamilisha kila kitu, sasa hata biblia inajua mjumbe wa mwisho ni mtume Muhammad,"
Qur’an 61:6
“Na Isa mwana wa Maryam alisema: Enyi Wana wa Israeli, mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu… na ninatoa bishara ya Mtume atakayekuja baada yangu, jina lake Ahmad.”
 
Mkuu swali lako halina mashiko hiyo haya inazunguka humu kila siku ishakuwa kama wimbo wa taifa still huelew tu
Leta hilo andiko au taja Mimi nitanukuu

Muda wa UPOTOSHAJI zama hizi za Teknolojia hakuna Tena

Weka hapa hilo andiko ,unaogopa nini?
 
Qur’an 61:6
“Na Isa mwana wa Maryam alisema: Enyi Wana wa Israeli, mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu… na ninatoa bishara ya Mtume atakayekuja baada yangu, jina lake Ahmad.”
Ahmad ni miongoni mwa majina ya Muhammad s.a.w
 
Hahahaha kaka kwanza unajua maana ya uislamu?? Wewe unaelewa Nini maana ya uislamu? Mana hata adamu alikuwa muislamu tuanze hapo kwanza unaelewaje kuhusu uislamu?
Jibu swali ,sijakuuliza maana ya neno uislamu

Nimeomba nitajiwe waislamu au muislamu mmoja tu wa KABLA ya muhamad aliyekutana na Muhammad

Mbona swali linaeleweka Mzee

Watu wanafatilia hapa wanataka kujifunza
 
Qur’an 61:6
“Na Isa mwana wa Maryam alisema: Enyi Wana wa Israeli, mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu… na ninatoa bishara ya Mtume atakayekuja baada yangu, jina lake Ahmad.”
Hizi ni porojo za mwaka 600 baada ya Yesu ,

Halafu Isa sio Yesu ,

Hii ni propaganda tu
 
Jibu swali ,sijakuuliza maana ya neno uislamu

Nimeomba nitajiwe waislamu au muislamu mmoja tu wa KABLA ya muhamad aliyekutana na Muhammad

Mbona swali linaeleweka Mzee

Watu wanafatilia hapa wanataka kujifunza

Hizi ni porojo za mwaka 600 baada ya Yesu ,

Halafu Isa sio Yesu ,

Hii ni propaganda tu
Hahahhaa huna hoja tena propaganda Gani wakati nimekupa maandishi mkuu na unataka ushahidi Gani tena zaidi wa kwenye vitabu bus mwaka 600?
 
SWALI JEPESI NA SIMPLE TU

NITAJIENI WAISLAMU AU MUISLAMU MMOJA TU WA KABLA YA MUHAMMAD ALIYEKUTANA NA MUHAMMAD
 
Basi wewe ni tahira yesu sio issa?
Unachekesha kumbe hujitambui bro.

Yesu ni nani na issa ni nani ? Jibu vizuri wakiwa watu wawili Tofauti nakupa 100k asaiv
 
Mzee unaniletea porojo za muhamad?Tena miaka 600 baada ya Yesu ?

Na sijui kama Unajua Isa sio Yesu ,ni character tofauti kabisa

Huu UPOTOSHAJI mkubwa sana ,

Nadhani watu wanajionea jinsi uislamu ulivyo na uongo
 
SWALI JEPESI NA SIMPLE TU

NITAJIENI WAISLAMU AU MUISLAMU MMOJA TU WA KABLA YA MUHAMMAD ALIYEKUTANA NA MUHAMMAD
Nakuuliza unajua maana ya uislamu?
Anyway.
Adam
Nuhu
Ibrahim
ISsa

Hawa ni waislamu walikuwepo kabla ya Muhammad s.a.w
 
Binafsi Nina amini kwamba hakuna swali ambalo halina jibu mbele ya uislamu, uislamu ni dini ambayo imekamilika kikamilifu, utakachotaka chochote kimeshaelezwa hata baaada ya maendeleo haya ya technology
20260125_185029.jpg

Naomba unipe ufafanuzi wa hadithi hiyo hapo juu
kuwa homa inatokana na joto la motoni.

Kumbuka Mtume Muhamad (PBUH) wakati wa kuumwa kwake hadi kupelekea kifo chake alipatwa na homa kali sana kiasi kwamba mkewe Bi Aisha alisema hajawahi ona aliyeumwa kama Bwana Mtume Muhamad (PBUH). Je ndiyo kusema naye joto la homa yake lilitoka motoni?

Screenshot_20260125_185819_Chrome.jpg

hamis77
 
Basi wewe ni tahira yesu sio issa?
Unachekesha kumbe hujitambui bro.

Yesu ni nani na issa ni nani ? Jibu vizuri wakiwa watu wawili Tofauti nakupa 100k asaiv
Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:

Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro akajibu, "Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai." Yesu alimpongeza kwa kuujua ukweli huo, akamwambia kuwa amefunuliwa na Baba wa mbinguni.

Asiyeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu hana uzima
Yohana 3:36
"Amwaminiye Mwana anao uzima wa milele; asiye mwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia."

1 Yohana 2:23
"Kila amkanaye Mwana, hana Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia."

Yesu alisulibiwa, alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu ili sisi tupate wokovu.
Ili mtu apate wokovu ni lazima akiri kama ilivyoandikwa katika
Warumi 10:9
"Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka."

Yesu Kristo ni Alfa na Omega; ni wa milele.
Katika Ufunuo 22:13 – Yesu anasema, "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho." Hakuna nabii yeyote anayeweza kusema maneno hayo.

Yesu Kristo ana mamlaka ya kusamehe dhambi
Katika Marko 2:5-7 – Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "Mwanangu, umesamehewa dhambi zako." Mafarisayo walishangaa, wakisema, "Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

Katika Ufunuo 19:16 – Yesu anaitwa Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana, hadhi ambayo manabii wa kawaida hawakuwa nayo.
 
Nakuuliza unajua maana ya uislamu?
Anyway.
Adam
Nuhu
Ibrahim
ISsa

Hawa ni waislamu walikuwepo kabla ya Muhammad s.a.w
HILI SWALI LIMEKUSHINDA ?

CHATGPT kakukataa?

SWALI JEPESI NA SIMPLE TU

NITAJIENI WAISLAMU AU MUISLAMU MMOJA TU WA KABLA YA MUHAMMAD ALIYEKUTANA NA MUHAMMAD
 
Basi wewe ni tahira yesu sio issa?
Unachekesha kumbe hujitambui bro.

Yesu ni nani na issa ni nani ? Jibu vizuri wakiwa watu wawili Tofauti nakupa 100k asaiv
Isa ni tapeli wa muhamad anajua alikomtoa ,hata kule Israel hawamtambui Isa, hakuna hata historia inayomjua Isa

Jina Yesu linatokana na lugha ya Kiebrania ‘Yehoshua’ katika lugha ya Kigiriki wanasema ‘Iesous’ inatamka ‘Yesous’ yaani Yesu. Katika lugha ya Kiarabu wanasema “ Yasu.”kwa kiingereza ni ‘’Jesus’’ Maana yake “Bwana anaokoa au Bwana ni Mwokozi”Soma aya hizi..

Mathayo 1:18-21 na Luka 2:8-11. Bwana maana yake Mungu ndiye mwokozi Isaya 43:6, 10-11.

Katika Biblia ambayo ina jumla ya Surah 1189 aya 31,102 vitabu 66 39, Agano la kale na 27 agano jipya neno Mwokozi kiiengereza wanasema Saviour limetajwa mara 55

ikumbuke kwamba katika agano jipya jina Yesu au kiebrania Yehoshua kiarabu Yashua au Yasu limetajwa mara 1275 katika aya zipatazo 1226. zingatia pia kuwa agano jipya lina jumla ya aya 7930 na Sura 260 hivyo hapa tunaona jina Yesu maana yake ni Mwokozi na jina Isa ni wekundu uliozidiana na weupe. Kwa kuwa maana ya haya majina tofauti bila shaka Isa siyo Bwana Yesu.
 
Sawa kabisa umeongea fact na Mariam ni nani? Yule ambae alikuwa bikra akajifungua? Nijibu kwa umakini sasa hapa tumalize KAZI

Ukinijibu vizuri Nina toa ahadi ya kuwa mkristo

Bikra maria ni nani?
 
Basi wewe ni tahira yesu sio issa?
Unachekesha kumbe hujitambui bro.

Yesu ni nani na issa ni nani ? Jibu vizuri wakiwa watu wawili Tofauti nakupa 100k asaiv
Acha kutukana kaka

Kuanzia lini issa alikuwa YESU?

Huyo issa ni issa na YESU KRISTO naye ni YESU KRISTO wala hata hawafanani na wamezaliwa sehemu mbili tofaut
 
Back
Top Bottom