Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
hojaNchi zote zilizoko kwny misheni ya kupambana Huko Somalia,CAR,Congo,Sudan etc ziko pale kwa ajili ya utamu wa pesa za UN.Huoni wanajeshi wakitoka Huko wanajenga majumba,wananunua magri ya kifahari etc
Jiulize kwanini UN haipeleki majeshi huko Afghanistan,Iraq,Libya kwny mziki mnene[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa Uganda tusijisifu Sana, tulipata msaada ndo maana ikawa rahisi kuwapiga.Duh kaka unaishi shimoni? yaani Dula mbabe akampige Tyson! Rwanda ni kama Singida ipigane na Tanzania nzima!
Hujui nguvu za kijeshi za JWTZ
JWTZ sio jeshi la kitoto bado hawajaamua tu. Ukitaka kujua ubabe wa JWTZ Kagame atume waasi wake wapige mpakani na Tanzania halafu jamaa wakija waasi wakimbilie Rwanda!!
Uganda wanajua joto la JWTZ!
Hahah Mungu hamnyimi mtu vitu vyote,akunyime mwili na mikwara pia? Haiwezekaniki hio.Huyu kimbau mbau ni kibokooo, anajua kutetemesha mnoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah Mungu hamnyimi mtu vitu vyote,akunyime mwili na mikwara pia? Haiwezekaniki hio.
Umewahi kushika Bunduki?Kwanza JWTZ huko Congo inatafuta nn? Km kulinda Aman mbna hapa kwetu Panya Road wanasumbua? Ngoro Ngoro je? Km sio unafiki na ufukunyuku n nn? Umbea na ukuda wa kiwango cha juu, tena hao M23 naona bado hawafanyi ipasavyo, wanatakiwa kuwasha motoo had wapoteane.
Nasemaje M23 piga hao JWTZ kipigo cha mbwa mwizi had wapate akili ya kurudi kwao, msieeeew unafiki tyuuh.
Kwani bongo hawapigwi?[emoji1][emoji1] labda siku wanajeshi wa Drc wakiwa serious.View attachment 2257033
😄😄 Hata sijui mkuuKwani bongo hawapigwi?
Wakikusikia watatamani wakuue, unataka uwaharibie hao askari michongo ya kupata pesa. Huko ndo wanapopata mishaara minono na kupata chansi ya kwenda huko hadi wanaonga na si kwamba kuna kazi kubwa kule ni mwendo wa bata tu.Kwanza JWTZ huko Congo inatafuta nn? Km kulinda Aman mbna hapa kwetu Panya Road wanasumbua? Ngoro Ngoro je? Km sio unafiki na ufukunyuku n nn? Umbea na ukuda wa kiwango cha juu, tena hao M23 naona bado hawafanyi ipasavyo, wanatakiwa kuwasha motoo had wapoteane.
Nasemaje M23 piga hao JWTZ kipigo cha mbwa mwizi had wapate akili ya kurudi kwao, msieeeew unafiki tyuuh.
We jamaa wewe!Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Mkuu kwenye issue za kagame uwa hata sikuelewi upo upande gani 😀Apigwe,nasema tena apigweeeeeee
Aisee!Ndio tatizo letu watanzania, kuendekeza ushabiki wa simba yanga, Chadema na CCM hata kwenye ishu nyeti. Ukubwa wa nchi hauna impact kwenye ubora wa kivita. Israel ni taifa dogo sana, angalia anavyosumbua mataifa makubwa ya kiarabu duniani. Angalia Israel inaingia mara ngapi kwa Iran, angalia population yao na iran.
Vita sio ukubwa wa nchi, vita ni mbinu za kimedani, ubora wa silaha, ari ya wanajeshi na intelejensia imara. Ikiwa jeshi lako, lipo wazi kila mtu anajua una nini, mpo wangapi na wapi, basi kukupiga ni jambo la kawaida tu.
Nasisitiza, sio rahisi kuwapiga Rwanda kwa kukurupuka mnaweza kuunguzwa na moto msioujua umetoka wapi.
Nimeishia hapo ulipoitaja Israel..Yaani unaifananisha Rwanda ambayo kila mtu anaijua ni maskini na Israel!!?Ndio tatizo letu watanzania, kuendekeza ushabiki wa simba yanga, Chadema na CCM hata kwenye ishu nyeti. Ukubwa wa nchi hauna impact kwenye ubora wa kivita. Israel ni taifa dogo sana, angalia anavyosumbua mataifa makubwa ya kiarabu duniani. Angalia Israel inaingia mara ngapi kwa Iran, angalia population yao na iran.
Vita sio ukubwa wa nchi, vita ni mbinu za kimedani, ubora wa silaha, ari ya wanajeshi na intelejensia imara. Ikiwa jeshi lako, lipo wazi kila mtu anajua una nini, mpo wangapi na wapi, basi kukupiga ni jambo la kawaida tu.
Nasisitiza, sio rahisi kuwapiga Rwanda kwa kukurupuka mnaweza kuunguzwa na moto msioujua umetoka wapi.
Umeonaaa! Ni mpuuzi sana, inaonekana ni mpuuzi wa mitandaoni.We jamaa wewe!
Kaandika pumba sanaUmeonaaa! Ni mpuuzi sana, inaonekana ni mpuuzi wa mitandaoni.
Anajifanya anajua sana.Kaandika pumba sana
iko maeneo ganiUkitaka kujuwa ujinga wa wanywaranda....nenda border ya tz rwanda...bwelanyange border(kagera)
Kuna madudu mengi rwanda wanafanya watanzania wakivuka
Ila wao wakivuka kwetu ni tofauti
Ngoja tuishie hapa
Hili border watu wengi naona hawalijuwi....
Pascal Mayalla
Ova
Wamewahi M23, inatosha sana.Umewahi kushika Bunduki?
Sasa ndo wakubali M23 wawapasue makalio, msieeeew hatutaki kelele zao, si wanapenda sana dezzo acha waoneshwe kazi, dadeki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakikusikia watatamani wakuue, unataka uwaharibie hao askari michongo ya kupata pesa. Huko ndo wanapopata mishaara minono na kupata chansi ya kwenda huko hadi wanaonga na si kwamba kuna kazi kubwa kule ni mwendo wa bata tu.
Ok, usiongee vitu usivyovijua.Wamewahi M23, inatosha sana.