DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

RDC nao wanawachekea sana hawa, ilitakiwa wakamue jipu litoe kiini.
 
Hii inaonyesha Rwanda bado ina ushawishi mkubwa Sana huko Drc mashariki kwa jamii kama Banyamulenge, Wahema.

Ni ngumu kuleta utulivu huko bila kuishirikisha Rwanda, ila inashangaza imeshindwa kumaliza tatizo la Fdlr, hii inajenga picha kwamba uwepo wa Fdlr ni mateso kwa raia wa huko, japo uwepo wao hutumika kimkakati kuendeleza mkono wa nchi jirani.
zitto junior mtu chake
Count Capone
 
Mkuu ebu jiongeze tu kwa watutsi(wahangaza)wa TZ,inapotokea issue na kagame hata jf uwa wapo upande upi ndio itakua watutsi walioko east congo!,why kagame na sio mu7 ambaye nae mtutsi,shida ya east congo na maziwa makuu ni kagame,kawajaza ujinga watu wenye asili ya kabila ukanda wote huu while after genocide alipaswa sana awaunganishe warwanda kuwa kitu kimoja lakini ameshindwa na kuwafanya wahutu kama watumwa ikiwa wao ni zaidi ya 75% ya warwanda wote,siku ya kuondoka kagame rwanda patachafuka zaidi 1994
 
Huyu jamaa nafikili Ni wale walio timuliwa mwaka 1959, 1973 na Wale waliokoswa kuuwawa mwaka 1994, Kama yeye Basi Ni wazazi wake, kashidwa tuu kurudi tu Rwanda coz ukirudi unaenda kuanza moja.
Ikiuma,chomoa.Ila angalia isitoke na mavih mengi.
 
Kama hujui kitu bora usiongee, yaani unaongea ujinga halafu wajinga wenzio wanakusapoti! Hujui vita ni nini ,hujawahi kushika silaha, hujawahi kwenda vitani! Halafu unaropoka mtandaoni watu wakuone unajua sana!
Mpuuzi wahedi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hasira za nn? Hivi ulielewa logic ya andiko langu? Au umekurupuka? Kawasaidie huko wanakoigwa.
Msieeeew.
 
Ni kweli mkuu Bado Rwanda inaushawishi mkubwa Sana huko drc wale Banyamulenge wapo Bado lipo kundi la wanamgambo wao linaitwa NGUMINO ni la Banyamulenge lipo Kivu ya kusini linasumbua Sana na yapo mengine huko Kivu ya kaskazini na ituri na makundi kibao.
Na ndicho kinampa jeuri sana na ndo hao anawatumia kutupia mabomu ndani ya rwanda na yeye kusingizia jeshi la Congo ndo wamefanya hivyo.
Still anaushawishi kwenye Yale makundi Kama alivyofanya 1998.
Anafanya hivyo ili ikitokea mapigano yeye anatuma Askari wake wanaenda kujiunga na hayo makundi na kupeleka viongozi kuongoza hayo makundi na wakipigana itaonekana ni askari wa rwanda, kumbe wechanganyika na vijana wa Congo ya mashariki. Na ndicho alichofanya kwenye second Congo war.
Kwa Tanzania anashidwa coz ushawishi Hana , Na ndomaana anangaika KUTUMA majasusi hasa kuja kujipenyeza ndani ya JW.
Na walikuwa wanadakwa sana.
zitto junior Count Capone
 
Matundu ya choo na mafuta ya kula ni issue leo mnataka kupigana na Rwanda, kama mnataka kula ugali kwa mgawo na kutolipwa mishahara lianzisheni na Rwanda, nina uhakika ma man kagame atawafundisha na hamtarudia tena na vita za kichokozi kama Nyerere alivyomfundisha Iddi Amin
 
Hapo tatizo kubwa ni uwepo wa Fdlr, hivi ni kweli Serikali ya Drc inashindwa kumaliza tatizo la Fdlr au Adf ?...maana Kila siku wanatajwa hao hao ina maana makundi mengine sio tishio ?
mtu chake zitto junior Count Capone
 
Hapo tatizo kubwa ni uwepo wa Fdlr, hivi ni kweli Serikali ya Drc inashindwa kumaliza tatizo la Fdlr au Adf ?...maana Kila siku wanatajwa hao hao ina maana makundi mengine sio tishio ?
mtu chake zitto junior Count Capone
fdlr unajua kabla hawajafika huko msituni walikua wapi? Ukijua hili utajua kwann hao wanatajwa sana na wakitajwa kigali wanapanic?
 
Tangu 1994 mpk leo Ni mafanikio gani makubwa FDLR wameshayapata kwny harakati zao za kutaka kumdondosha yule mtu mrefu mwembamba?
swali zuri sana,mafanikio sidhani km wameyapata zaidi ya wbo kubaki huko huko msituni. Kikwazo kikubwa hawepwi nafasi hata ya kupumua,kigali macho yote kule kuhakikisha hawapati support yoyote iwe ya kimsitu au sio
 
kijana usijidandanye na hy id yako feki,respect kazi na majukumu ya watu.

Nakujua vzr mno,take care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…