Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Umeandika madudu gani?Vp kama walitaka waipate ikiwa intact Kwa ajili ya kuitafiti?
Kama ni bahati mbaya,Hadi kujimwagia mafuta Ilikuwa bahati mbaya?
Halafu umeambiwa Ile ni international airspace,ila Russia amefanya jeuri!
Lakini pia,hiyo drone inaweza ikawa imetokea nchi yeyote ya NATO ambako Kuna Kambi za US!
So hakuna maajabu hapo!
Tumia Kichwa chako vizuri!
 
Dunia ina vichaa wengi sana, Russia wanaigopa USA kwa silaha zao huku kijana mmoja kutoka Tanzania ambae hajawahi kufanya kazi kwenye Jeshi la USA akituthibitia ubora wa vifaa vya kijeshi walizonazo USA na RUSSIA.

Serikali isiochukua hatua ya kuwapima akili wananchi wake tatizo litazidi kuwa kubwa sana.
Japo inawezekana na mimi ni kichaa pia make sijapimwa pia akili.
 
Watume drones za nini? Marekani yupo uchi mbele ya mmrusi. Kuku wake manati ya nini!?

Mashoga tuu ndio wataamini ile ni ajali tuu. Ajali ya kukojolewa mafuta..!
Hiyo ni mmarekani tuu anaweza fanyiwa.

Mrusi hakuhangaika kutumia kombora ili amdhalilishe na kuonesha udhaifu wa super power
 

Ndege za Urussi zinazokatishaga Alaska huwa zinafanya nini? Au Alaska sio US??
 
Je umezipata habari za bakhmut? tuliambiwa russia inachukua miji washa TV sasa msikilizie kiongozi wa Wagner analalamika nini, zaidi ya askari 1000 missionaries wameenda na maji, hizo kadrone kugongwa mnyama atajibu tu

Prigo ni muhuni sana anawapa morale ili mje, uyo jamaa mkimsikliza mtaenda na maji wote anawaenyoy tu.
 

Tutajie hizo silaha ambazo Russia anaziogopa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Unaujua uwanja wa taifa?Sasa ukiwa pale katikati ya uwanja mpira unapoanzia,tembea kuelekea golini mpaka ulivuke goli ukaribie Ile sehemu ya wanariadha,Huo umbali uliotembea ndio kimo Cha Hilo balloon!
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…