Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Dah umeona mbali kweli mkuu hivi wanakuaga wapi hawa akina

T armata
Proved
Kipanya
Na wengineo habari zinakua haziwafikii nini?
Ni kitu cha kawaida hicho kinakuzwa kwa vile hamna jambo kubwa la ziada. Mid air collision ni ajari unayoweza kwepa kuwajibika ukitoa visingizio, hiyo drone haijadunguliwa. Na drones hazina manouvres kama manned fighter jets kwahiyo Su-27 ziliweza kuzunguka na marubani wakaamua cha kufanya kuliko operator wa hiyo Reaper angeweza fanya uko aliko Marekani au kwingineko labda Ujerumani ambapo kuna command kubwa ya drones za Marekani.

Drone sio silaha ya kufanya nchi ziingie vitani na ndio maana mataifa yalizitengeneza. Hakuna rubani kafa hapo ingekuwa ni U-2 ya Mmarekani ndio ilikuwa inafanya reconn kwenye international waters kisha ikaangushwa tungeongea lugha nyingine. Hata Urusi ilinywea Uturuki ilipodondosha ndege yake na kuua rubani kwa sababu ilikiuka na kuingia kwenye anga la Uturuki kimazoea.

Russia haijasema direct imedondosha ile ndege. Its unprofessional marubani kuendesha ndege karibu karibu na sio mara ya kwanza marubani wa Urusi kufanya hivi. Ila mid air collisions sio jambo geni kwenye ndege.
Lakini kama wanataka ligi, Marekani inazo ndege nyingi tu wala sio kupambanisha surveillance drone dhidi ya fighter jet.
 
Naeka kituo hapa
 
We mmarekani Drone imemwagiwa mafuta, sio collision
 
UTUMBO MTUPU HUYO URUSI AMBAE ANAHANGAIKA NA UKRAINE MWAKA SASA? PAMOJA NA KUKODI MAJESHI NORTH KOREA, VENEZUELA NA CHINICHINI CHINA BADO ANAPELEKEWA MOTO.
URUSI HAKUNA KAZI MAGWARIDE YA KIZUSHI ILA ANASHINDWA KUITEK UKRAINE MWAKA SASA.
KUJITOA VITANI ANAONA AIBU, KUSHINDA HAWEZI.. NGOMA NGUMU

NYIE NDO WALE WAFUGA NDEVU KAUAWA GENERAL MKUBWA WAKARUSHA VIKOMBORA UCHWARA WAKASEMA WAMEUA KAMBI NZIMA🤣🤣🤣
 
Marekani alikaa miaka mingapi kwa watelebani na akaambulia nini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Inamaana mkuu hata kuimwagia mafuta ni ajali tu ya kawaida?
Hili tukio ni deliberately,hata US wanajua ndio maana wamem balozi wa Russia!
 
Mmarekani alichezea kwa vietnam, akaja akachezea kwa talibán,

Nina uhakika marekani hawezi kupigana haya na uganda bila kutegemea mawifi zake nato
 
Kuandika Kwa herufi kubwa ni dalili ya kutojiamini
 
Urusi inajitapatapa kama kifo cha kwenye maji. Sasa haoni wala hajui sheria
Hakika Purtin kufa Kwake kumewadia
 
Lazima na wewe una ligi unazobishaniaga, sasa sijui huwa unagain nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…