Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Umeongea kikubwa sana.
 
Sasa ulitegemea ipangwe na timu gan?kadri mashindano yanavyosogea ukingoni kunakua na timu ngumu,na ndo maana halisi ya champions league,sasa CAF hapo wana kosa gani.
Angalau wangepangiwa na ES Tunis
 
Acha upumbavu bro
 
Historia haijawahi kuongopa View attachment 2577013
Hii ni Historia na imebakia historia na ni kweli kabisa.

Yanga ilianzishwa na watz wazawa halisi na waliunga mkono jitahada za kutafuta uhuru wetu.

Simba ilianzishwa na Wahindi na waarabu wasiokuwa wanajali kuhusu uhuru wa hii nchi.

Sasa jitathmini unashabikia utumwa?

Historia haidanganyi, Simba ina wenyewe na wewe sio sehemu hiyo.
 
Jibu lililokwenda shule
 
Hii ni nzuri! Ck zote lazima uji challenge na vitu vigumu. Simba moya
 
kama kwa Raja nyasi hazikuumia? iweje kwa Wydad...

This is the easiest Game home and Away to Arabs.

natafuta elfu 50 naweka ushindi kwa Waarabu, H & A
Umewaza kama mimi. Hii ni hela nje nje kwa kumuua simba home na away.
 
Huwezi kuwa bingwa kwa mentality ya namna hii .
 
Kupangwa na Wydad ni bonge la advantage kwa SIMBA....

kukosea njia ni wakati wa kwenda tu, ...
Teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwamba umetisha.
 
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa widad????
 
mi niliwaambia mwaka huu Casablanca wana jambo lao msimbazi...
[emoji23][emoji23] Daah naona kama bora Raja, kuliko Wydad
Bora wydad isee ukiangalia match zake za nyuma unaona kabisa tunaweza kupambna vizuri tu.
 
 
Yaani mpaka Phiri anashangaa.

Daah ila jamaa aliye design hii graphics, sijui alifikiria nini.
 
Hii team ya yanga ina wapuuzi wengi sana hawajui lolote kuhusu footbal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…