Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Mzee umechanganya madesaNani alifikiri yule jamaa aliyegongwa na mwendokasi juzi angepona? Simba itatoboa humo humo #nguvumoja [emoji123]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee umechanganya madesaNani alifikiri yule jamaa aliyegongwa na mwendokasi juzi angepona? Simba itatoboa humo humo #nguvumoja [emoji123]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Umeongea kikubwa sana.Naomba nitoe maoni yangu.
Ukiwa umeshafika hatua ya robo fainali kwenye CAF Champions League, kwa nafasi kubwa utakuwa unapambanishwa na timu kongwe na zenye mafanikio makubwa sawa au kuliko wewe. Ni timu zenye uwezo mkubwa kiuchumi na uwanjani pia. Usitegemee timu ndogo tena.
Njia pekee ya kupita kwenye hatua hii ni kujifunza na kuwa na mawazo (mentality) ya hakuna cha kupoteza. Kwa idadi kubwa hupewi nafasi kubwa ya kushinda. Ingia uwanjani na mcheze mkiwa hamna shinikizo lolote (pressure).
Kwa maoni yangu, timu zingine ndio zitakuwa na pressure ya kushinda na sio Simba SC kwa sababu wao ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda na hawatakuwa tayari kushangazwa na timu kama Simba SC.
Kitu cha muhimu ni kwa Simba SC kuwekeza zaidi kupata wachezaji wa kutoka robo fainali mpaka fainali. Na hapo hakuna ujanja zaidi ya kuwapata wachezaji wa kiwango cha zaidi ya wachezaji wa sasa. Hamna kupindisha maneno.
Pia kwenye mchezo wa kandanda, hakuna lisilowezekana. Kuna maajabu yanaweza kutokea. Kuna mifano mingi ya timu ndogo kuishinda timu yenye majina makubwa ya wachezaji na mafanikio.
With the right mentality and "we have nothing to lose" mindset, miracles can happen. Best of luck to Simba SC.
My 2 cents.
Angalau wangepangiwa na ES TunisSasa ulitegemea ipangwe na timu gan?kadri mashindano yanavyosogea ukingoni kunakua na timu ngumu,na ndo maana halisi ya champions league,sasa CAF hapo wana kosa gani.
Acha upumbavu broSimba atashinda Dar lakini pia simba atafungwa Morroco. Haya maneno yatunze hapa tutayarudia.Usikariri matokeo. Timu youote inayofika hatua hii huwezi kuibeza na INAWEZEKANA Waydad akatolewa si kwa kuwa hana uwezo ila kwa sababu ya kuona kapata timu dhaifu.
Kama simba alitolewa kwa kudhani galaxy mbovu basi hata Waydad aweza tolewa kwa kigezo hicho hicho.
Mpira hauchezwi mtandaoni.
God is above all that you know.
Hii ni Historia na imebakia historia na ni kweli kabisa.Historia haijawahi kuongopa View attachment 2577013
Jibu lililokwenda shuleHii ni Historia na imebakia historia na ni kweli kabisa.
Yanga ilianzishwa na watz wazawa halisi na waliunga mkono jitahada za kutafuta uhuru wetu.
Simba ilianzishwa na Wahindi na waarabu wasiokuwa wanajali kuhusu uhuru wa hii nchi.
Sasa jitathmini unashabikia utumwa?
Historia haidanganyi, Simba ina wenyewe na wewe sio sehemu hiyo.
Umewaza kama mimi. Hii ni hela nje nje kwa kumuua simba home na away.kama kwa Raja nyasi hazikuumia? iweje kwa Wydad...
This is the easiest Game home and Away to Arabs.
natafuta elfu 50 naweka ushindi kwa Waarabu, H & A
Hii risiti n muhimu kuitunza kwa matumizi ya baadae ngoja niiscreenshot.Wydad kajileta kwenye moto mwenyewe
Sasa si tunataka kuona kama ana matako ya sufuria au lah
Huwezi kuwa bingwa kwa mentality ya namna hii .Uzuri ni kwamba hata hilo unalolisema likitokea haiwezi kuwa noma
Unajua kwasababu gani?
Kwasababu nimefungwa na timu kubwa tena kwenye mashindano makubwa na magumu.
Ishu ipo kwenye levels zenu za form four failures ambao mmegeuka kuwa resetters na kuanza kujifananisha na sisi
Teh teh 😂😂😂 mwamba umetisha.Kupangwa na Wydad ni bonge la advantage kwa SIMBA....
kukosea njia ni wakati wa kwenda tu, ...
Bora wydad isee ukiangalia match zake za nyuma unaona kabisa tunaweza kupambna vizuri tu.mi niliwaambia mwaka huu Casablanca wana jambo lao msimbazi...
[emoji23][emoji23] Daah naona kama bora Raja, kuliko Wydad
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.
1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.
Atakuwa widad????
Bora wydad isee ukiangalia match zake za nyuma unaona kabisa tunaweza kupambna vizuri tu.
Huku Mtaani vilio vimetawala Baada ya makolo ....aka dunduka kupangiwa na miamba ya soka hapa Africa ( wydadi Casablanca) ambaye Kwa kweli sio level kabisa....kimsingi Simba ni under cat[emoji250] ( sio under dog Tena ) Kwa sababu ni mdogo mno
Vilio vimetawala Kwa mashabiki wikitaka wabadilishane na wananchi vikosi
Nasemajeee! nasemajeee! ONYANGO KIDOGO, MAGOLI MENGIIII[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmeyakanyagaaaaaa mtanii sio siri.[emoji119][emoji119]
R I P again BOB JUNIOR [emoji848]
Ushauri: Simba kimbilieni Malawi mkajificheView attachment 2577856
Nyie hata mshinde tatu bila hapa .. Wydad anapata matokeo fresh kabisa aggregateWydad kajileta kwenye moto mwenyewe
Sasa si tunataka kuona kama ana matako ya sufuria au lah