Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Utopolo wanaenda nusu fainali kilaini tu.
 
Punguza chuki kaka, wewe upo Tz Nigeria ulifika lini, Leo unakua shabiki wa Rivers akati Yanga ipo Tz na wewe ni MTZ usimba na yanga uwe na mipaka, uzalendo kwanza
 
Aahhhhaaaja

Page yao ya Twitter ishavamiwa na wabongo
 

Attachments

  • Screenshot_20230405-220727.png
    Screenshot_20230405-220727.png
    170.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230405-220735.png
    Screenshot_20230405-220735.png
    159.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230405-220745.png
    Screenshot_20230405-220745.png
    53.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230405-220758.png
    Screenshot_20230405-220758.png
    45.4 KB · Views: 1
Siku Nyingine Jifunze Neno Breaking News Halitumiki Kwenye Jambo Dogo Hivi
Aahaahhaaah

Acha roho ya kwanini

Wahuni washaivamia page yao ya twitter
 

Attachments

  • Screenshot_20230405-220727.png
    Screenshot_20230405-220727.png
    170.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230405-220735.png
    Screenshot_20230405-220735.png
    159.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230405-220745.png
    Screenshot_20230405-220745.png
    53.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230405-220758.png
    Screenshot_20230405-220758.png
    45.4 KB · Views: 1
Yanga anaanzia nyumbani atamalozia machinjioni Nigeria wazee wa kuroga balaa
Bwawa la ndumba lipo 9ja
Ila
Yanga Ina wa congoman wengi wanajua sana izo mambo...
Nakumbukaga ile mechi....lili letwa sinia jipya yakamiminwa maji likawekwa KOMBE (Kisomo)

Then Kila mchezaji akiwa ametoka kuoga msafi tena usiku Moja kabla ya mechi hurusiwi kuchakata mbususu a. k.a papuchi
Tulijipaka Yale maji YENYE KOMBE timu nzima
Tukiwa ingia uwanjani ni ushindi kwenda mbele.....
 
Back
Top Bottom