Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Japo wanaburuza mkiahawa Marumo Gallants nawaangakia ss iv Dstv 229 wako vzr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo wanaburuza mkiahawa Marumo Gallants nawaangakia ss iv Dstv 229 wako vzr
Nimeona watu wengi wanaichukulia pia hii game dhidi ya wapopo, haitakuwa nyepesi kama watu wanavyodhani.Rivers Utd tena...kheeeeView attachment 2577775
Huna akili maana hata kusoma umeshindwaYanga anaanzia nyumbani atamalozia machinjioni Nigeria wazee wa kuroga balaa
Yanga amepata lakini Bado unakuta anakwama! Je angekua huku Kwa wanaumeRivers wakiweza wamalize mechi huko hulo Nigeria ili kupunguza midomo
Nitakunya Live MP 1 Lugalo Makongo!!Utopolo wanaenda nusu fainali kilaini tu.
Utabiri umetimia hongera sana..Utabiri Wangu
Rivers united vs yanga
Hata wa Yanga wameshangilia vilevile, wakalipe kisasiNaona viongozi wa Rivers wanashangilia sana kazi imeisha, tunafuatilia league ya Nigeria tunajua
Wapo mbioni kushuka daraja msimu huu kwenye ligi yaohawa Marumo Gallants nawaangakia ss iv Dstv 229 wako vzr
mnyalu ana chekelea kukabidhiwa mbwaNaona viongozi wa Rivers wanashangilia sana kazi imeisha, tunafuatilia league ya Nigeria tunajua
Mikianza kudharau game mapema hivi, ujue kushindwa kupo karibu.Hapana mzee kipindi kile walikuwa na kikosi kibovu
Rivers United wamekuja na ticket ya Yanga kumpeleka nusu
AahaahhaaahSiku Nyingine Jifunze Neno Breaking News Halitumiki Kwenye Jambo Dogo Hivi
Bwawa la ndumba lipo 9jaYanga anaanzia nyumbani atamalozia machinjioni Nigeria wazee wa kuroga balaa