Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Hivi Yanga haijapangiwa au kwa sababu ni kombe la loser ndo maana mnamjadili Simba tuuu?? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Natania jameni
 
Hilo kundi la Simba SC naliona fair, hasa nikitazama timu zilizopo kundi A na B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…