Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Kwa level yangu huku Club Bingwa, hili ni kundi simple sana
Jeuli unaitoa wapi? Maana kwa rank timu zote mbili mbili zimekuzidi.
IMG_20221212_170858.jpg

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hivi Yanga haijapangiwa au kwa sababu ni kombe la loser ndo maana mnamjadili Simba tuuu?? 😀 😀 😀 Natania jameni
 
Hilo kundi la Simba SC naliona fair, hasa nikitazama timu zilizopo kundi A na B
 
Back
Top Bottom