ðŸ¤ðŸ¤ðŸ˜‚Nasikia kuna mgomo huko. kila team inakataa kupangwa kundi moja na Yanga. Maana walipata habari za kilichotokea Tunisia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ðŸ¤ðŸ¤ðŸ˜‚Nasikia kuna mgomo huko. kila team inakataa kupangwa kundi moja na Yanga. Maana walipata habari za kilichotokea Tunisia!
Unazungumzia fluke, ambazo ni kawaida kwenye mchezo.Simba na Mazembe nani mwamba kwenye mashindano ya CAF?
Toka msituni njoo kwenye mwanga mkuu, uangaziwe maisha yako😅😅Sisi huku hakuna umeme tunategemea updates toka kwenu wenye mnafuatilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakati ule (alipowafunga Ahly) hamkuwahi kumheshimu, mlidai kapuliza dawa na mliwaita underdogs.Mkuu Simba aliyekuwa anapiga kina ahly siyo huyu Simba wa Sasa mzee... Move on maisha yameshabadilika kabisaa
HawakawiiHalafu baadae mnakuja kusema tuliwapulizia dawa kwenye dressing rooms, au mnakuja kusema ni vibonde.
Jeuli unaitoa wapi? Maana kwa rank timu zote mbili mbili zimekuzidi.Kwa level yangu huku Club Bingwa, hili ni kundi simple sana
Samaleko mkuu nakuswabahiii sio kwa dawa hizi unazowapa dozee dozee full...yani safi sanaaa Mac AlphoHata wakati ule (alipowafunga Ahly) hamkuwahi kumheshimu, mlidai kapuliza dawa na mliwaita underdogs.
Leo mnawezaje kusema ile ilikuwa ni Simba Sc hatari?
Mazembe imeyumba sana kipindi hiki mzee..wala haina makali ya kutosha na haitishi..Kumbuka maneno yangu ndugu Vipers sio timu ya kuitisha Simba hata kidogoSimba na Mazembe nani mwamba kwenye mashindano ya CAF?
Kwani kuizidi Rank ndo kuifunga Simba? Wangapi wamefungwa na mnyama na wako juu?😛😛Jeuli unaitoa wapi? Maana kwa rank timu zote mbili mbili zimekuzidi.View attachment 2444105
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kwa kundi mlilopangwa, aisee mkishinda; nitawapongeza.Halafu baadae mnakuja kusema tuliwapulizia dawa kwenye dressing rooms, au mnakuja kusema ni vibonde.
Tukisema tutumie ranks kutabiri matokeo ya group stage nadhanu Yanga itakuwa ya mwisho kabisa kwenye kundi lake, maana imezidiwa na team zote.Jeuli unaitoa wapi? Maana kwa rank timu zote mbili mbili zimekuzidi.View attachment 2444105
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hilo kundi B ni la moto sana.Hilo kundi la Simba SC naliona fair, hasa nikitazama timu zilizopo kundi A na B
Fuse zimekata no connection hahahhaahNipo hapa kushughulikia watu wenye umeme mdogo kichwani.
Umeme wa kipara[emoji23].
Hakuna wa kumpiga Simba hamsa hapo, rudia tena kuangalia hizo timu.Umewadia ule wakati wa Simba kuendelea kukalia hamsa hamsa.
Afadhali amekuwahi umejinusuru aibu kwa sababu baada ya mechi za makundi haitakuwa hivyo.Umeniwahi mkuu