mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Umeniwahi mkuuNatabiri msimamo utabaki hivi mara baada ya mechi za makundi kuishaView attachment 2444030
Kweni kuna group hapo halina timu ya waarabu?Yanga na waarabu sijui wana ugomvi gani?
Amka utajinyeaDroo tamu sana hii kwa Wananchi... Tuna point 6 zetu kwa watunisia + point 4 za hawa Bamako + 4 za wakongo = point 14
Tunaongoza kundi Kisha Hapo robo final leta piramid tuna droo Kwa mkapa Kisha tunaenda kumpigia kule kwao kama kawaida yetu Kisha semi final iyooo....
Historia mpya inaandikwa na hizi habari za hawa jamaa zetu mara oooh tumefika robo fainal zinakuwa zimekufa kifo Cha mende.... Au nasema uwongo ndugu zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uto...wanapita kilaini Sana.Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limekamilisha droo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho, Yanga ya Tanzania ikiwa Kundi D pamoja na US Monastir ya Tunisia, TP Mazembe ya DRC na Real Bamako ya Mali.
Kachangie mchango wa kukomboa bus kwanzaAmka utajinyea
Kundi jepesi sana hakuna wakutuzuiaUtopolo kapangwa Group D
Mkuu ilikuwaje ukawa miongoni mwa mbumbumbu wakati unazo akili nyingi kiasi cha kuona huu ukweli?? Ushauri wangu hebu ondoka kwenye iyo timu kabla hawajakuambukiza Umbumbumbu hao watuIla kusema ukweli Simba awamu hii hatuendi robo fainali, hatuna timu imara ya ushindani.
Timu nyingi ziko vizuri kuliko sisi japo tutajitetea kwa maneno mengi ila ukweli ndo huo, hatuwezi tembelea historia ya nyuma ambako tulikuwa na timu yenye ushindani na morali ya hali ya juu.
Kwa sasa tunagombana huko ndani mambo hayako sawa na mwezi February sio mbali ambako tutaanza kunyolewa na mabeberu yaliyowekeza cash tofauti na sisi wazee wa akina bhebhe wanasusa susa mithili ya mwali mwenye mimba changa
Nikopeshe laki moja jioni ntakurejeshea, fanya upesi tukakomboe basi.Kachangie mchango wa kukomboa bus kwanza
Ukweli unakuweka huru, mwaka huu hata huku kwenye ligi ya NBC tukiwa mikoani ni tiamaji tiamaji, Simba mwendo tumeumaliza.Mkuu ilikuwaje ukawa miongoni mwa mbumbumbu wakati unazo akili nyingi kiasi cha kuona huu ukweli?? Ushauri wangu hebu ondoka kwenye iyo timu kabla hawajakuambukiza Umbumbumbu hao watu
Nataka tupangwe na timu ngumu zaidi hao Vipers wanaonewa tuSimba na vipers