Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

Wachezaji nao wabadilike sasa! Wameanza tabia za kifaza. Hawana kabisa shauku ya kuwaziba midomi wapinzani wwtu wa jadi!
 
Sasa kama ni uongo wewe weka taarifa sahihi
Taarifa sahihi ni kuwa huo uwanja wa Stade olympiaue Hammad Agrebi unamilikiwa na serikali ya Tunisia,
Siku nyingine jifunze kupata taarifa sahihi na sio kukurupuka!
 
Ivi kwa nini as vita hajacheza mpaka leo
Ni kwa sababu wikiendi ambayo Kadiogo ilitakiwa kucheza na AS Vita kulikuwa na mapinduzi ya kijeshi nchini Burkina Faso. Hivyo mechi iliahirishwa kwa sababu za kiusalama. Wameshacheza mechi ya kwanza Wikiendi iliyoisha, mechi ya marudiano imepangwa kufanyika Alhamisi Oktoba 20, 2022 huko Kinshasa.
 
Taarifa sahihi ni kuwa huo uwanja wa Stade olympiaue Hammad Agrebi unamilikiwa na serikali ya Tunisia,
Siku nyingine jifunze kupata taarifa sahihi na sio kukurupuka!
Kwa hiyo kwenye hoja zote umeona ya uwanja tu? Basi tujikite kwenye uwanja huo, Je Club Africain hawautumii kama uwanja wa nyumbani? Hauna capacity ya kubeba watu 60,000? Sio uwanja huo Kipanga alipigwa 7-0?
 
Lakini kwa yule Mwarabu mweusi tulisema iwe jua iwe mvua matokeo yake ikawa bariiiidi. Sasa kumbuka huyu ni Mwarabu mweupe. Basi tucheze na Kipanga kama wote malooser๐Ÿคธโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคธโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคธโ€โ™‚๏ธ
Na trip hii Nabi lazima ajikite kwenye uzalendo

Mshahara hauwezi kununua uzalendo, humu tumekuwa tukiiimba maswala ya kutanguliza utaifa kwanza

Mlivyokuwa mnapiga hayo mayowe kumbukeni naye Nabi alikuwa anawasikia
 
Du! Huu ni mwaka wa taabu kwa Utopolo Jazz; wameruka mkojo wamekanyaga ma.vi. Hali ni mbaya sana kwa wapenzi na mashabiki wa Vyura FC. Hawa fisi mwaka huu wanalo1 Ama kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza!!!!!
 
Hahahaaa haya sasa kazi kwenu utopolo ....kila mnakoenda mnakutana na kigongo yaaan mpaka mkome ...si mda mtapoteana na huyo profesoli Nabi si mda mrefu mnamtupia vilago kwanza 23 tu tunawakanda ..[emoji16][emoji16]
 
Kwa hiyo kwenye hoja zote umeona ya uwanja tu? Basi tujikite kwenye uwanja huo, Je Club Africain hawautumii kama uwanja wa nyumbani? Hauna capacity ya kubeba watu 60,000? Sio uwanja huo Kipanga alipigwa 7-0?
Sasa Kipanga unamfananisha na Yanga?
 
BREAKING NEWSโšกโšกโšก
Katika hali isiyo ya Kawaida klabu ya Yanga sc (utopolo) itakutana na Waarabu wa Tunisia ,Wakongwe wa CAF ,CLUB AFRICAN iliyoweka rekodi ya kumchapa mtu goli SABA mtungi..Yanga hii itakutana na KISANGA cha CLUB AFRICAN katika dimba lao lenye uwezo wa kubeba mashabiki 60,000 Tunisia . kwa kufupisha tu RIP Young Africans mwendo wa Shirikisho utahitimishwa rasmi Tunisia.
 






Hawa Club African wana Miaka 102 Toka Waanzishe, Wamesha Chukua CAF Champion league, Kwao Wana Makombe kama 13 , Mashabiki wake ni Vichaa Zaidi ya Al Hilali Ya Sudanโ€ฆ.. Hawafai wala Kufaaaโ€ฆ. Mwaka huu ndio wapo Motooo kuliko miaka yoyote ilee.

Al Hilali Alisha pigwa 3 moja Kule kwaoโ€ฆ. Wao kucheza Ligi Mabingwa Ni Kawaidaa Sanaaaa wanarudi Tanzania Kwa Mara ya Pili katika Huu Mwakaโ€ฆ. wana Ndege yao Binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ