Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
700 hadi bukuwale wa vibanda umiza.. EPL saivi tutaicheki sio kwa jero tena naona.
Japo nilisikia TISIARAEI walipiga marufuku ila wahuni tutaishi nacho tuPole kibanda umiza wengi hivi sasa wana Canal+
Yeah Ina make senseWangeweka na opt ya week, week zenye mechi ndio mtu alipe. Nyingine ashushe bando
Nyie mnaoangalia dstv muwe mna control Tv zenu maana ushoga huko ni nje nje...watt na hizo cartoon zipo free exposed na zina maudhui ya kimagharibi...ni hayo tuu...
Hawa Jamaa wanafirisika Huko South Africa: Wanatuongezea Bei huku hili wafidie Maumivu ya kufirisika South Africa :Ndio, vitu vizuri ni gharama. Nimewauliza kwanini wanapandisha wamenijibu kwa sababu wameongeza chaneli nyingi na hawajapandisha kwa muda mrefu
Hizo kwako ni ndogo sana.56 mpk 60 ni buku???
Elf 4 mara miezi ya mwaka mzima ni sh ngapi?
Decoder ipi????Ili niweze kuona Nat Geo zote, Discovery Science na ID natakiwa nilipie package ya sh ngapi kwa mnao tumia hii decorder?
King'amuziDecoder ipi????
Mbona customer care wao ni wa kiume! Au umeshajiunga na upinde?Dah nina miezi 8 sijaweka kifurushi washanipigia simu hadi wamechoka. Naishia kuwatongoza tu.
Wapandishe tu si hatutaki ushindani kwa makampuninmengineKuanzia julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?View attachment 2666617
Nadhani hujaelewa ulichoqoute kimetokea wapiHizo kwako ni ndogo sana.
Wapo na wa kike 😂Mbona customer care wao ni wa kiume! Au umeshajiunga na upinde?
Ngoja nilipe leo ya mwaka mzima niwakomoe.Kuanzia julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?View attachment 2666617
AZAM TV ndio mwenye haki ya matangazo kuonesha LIGI KUU NBC sio Dstv mkuuMimi nina dstv kwangu lakini mda wote naona chanell ni catton tu full time na huwa nalipia hichi cha elfu34 ambacho naona ni 37 sasa.... na nalipa kwaajili ya mtoto wangu me sina muda wakuangalia tv om,
Niwashauri hawa dstv sawa hata kama mmepandisha jitaidini na chanell za mpira mziweke hasa ligi kuu ya NBS tanzania mnatupa shida sana.... yani mpira mpaka uka angalie mtaani!!! Maana mimi nikiangalia tv ujue kuna mpira!!!
Na ikiwezekana chanell baazi zinazoonyesha mpira wa ulaya mzishushe huku chini” kifurushi cha laki na 60 nalipiaje kwa mfano?
Wengine starehe yetu ni mpira, sasa nalipia elfu37 kwaajili ya catoon ya mtoto tu hii sio poa DSTV...... mlitizame na hili
Elfu 34 mkuu ambacho kimepandaa now.King'amuzi
Mie huwa nalipa January na June tu.. Huo muda wa TV sina kabisa, isipokuwa watoto wakiwa likizo tu.Dah nina miezi 8 sijaweka kifurushi washanipigia simu hadi wamechoka. Naishia kuwatongoza tu.