THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Muendelezo wa "Double standards", chuki, wivu na husda za wake na waume wa wavaa kobazi hizi!
Ipo siku mpaka kunya mtasema nyie mnakunya vizuri kuliko wakristo.
KUNA USHIRIKINA MKUBWA ZAIDI YA KUCHUKUA SANAMU NA KULIWEKA MBELE YAKO NA KULIABUDU KWA KULIITA MUNGU??Mnafiki MKUBWA na mshirikina ni wewe unayetaka kuelekeza mtu aliyeamua kuongea na Muumba eti aombee nini na namna gani.
Ni unafiki MKUBWA ndiyo kuelekeza watumishi wa Mungu kufanya ushirikina!!
Yupo smart upstairs 😂😂😂Mrisho Mpoto ni Zezeta sana
Kwanini asianzishe Bendi ya Taarabu za Mipasho.Yupo smart upstairs 😂😂😂
Muziki wake ni wa kughani,acha makasirikoKwanini asianzishe Bendi ya Taarabu za Mipasho.
Kwanini mliwaita? ulitaka waombee wizi wa mali za watanzania?Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D
Na ni kubariki wizi wa rasilimali za nchiDua yoyote kwenye shuguli za kuserikali ni unafki tu iwe ya kikristo au kislam. Hata wale wanao hapa huku wameshikilia biblia na wengine quran, ni unafki tu
Ova
Hana Hekima wala BusaraMuziki wake ni wa kughani,acha makasiriko
Watafuna mali za watanzaniaWameshindwa hata kutaja neno "bandari"?
Wale ni zaidi ya nyoka.
Na jana imewauma sana, huku Kikwete, Kula Mama Samia, pale Sultan, kule Mbarawa.
Khatr kubwa.
Kwanza nawe ni mnafikiKama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D
Putting fellas on their placeHana Hekima na Busara
Kuwasimanga Viongozi wetu wa Dini sio poa kabisa.Putting fellas on their place
That's corporate dude and then corporate personelsKuwasimanga Viongozi wetu wa Dini sio poa kabisa.
Je Mungu alikuweka kuwa kiranja wa kuangalia kamjibu yupi na kampotezea yupi?Dua ya kuku. Wiki sita dua za maaskofu hazijajibiwa Tanzania nzima.
Kuna common sense kweli kweli poor believer!KUNA USHIRIKINA MKUBWA ZAIDI YA KUCHUKUA SANAMU NA KULIWEKA MBELE YAKO NA KULIABUDU KWA KULIITA MUNGU??
AU ULE WA KUSEMA MAMA WA MUNGU AKUOMBEE??YAANI UNASEMA MUNGU ANA MAMA??BASI HATA KUTUMIA COMMON SENSE TUH??
Peleka maelekezo kwa mganga wako wa kienyeji!Usikurupuke, msikilize askofu msikilize na Sheikh, utauona unafik uko wapi.
Unahesabuje ushindi?Mwenye haki kashinda.
Kuna common sense kweli kweli poor believer!
Huelewi chochote kuhusu imani we kilaza wa majini