Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

maombezi ni maombezi tu, uchochezi na uchonganishi kwetu sisi manabii tunapambana nao ktk ulimwengu wa roho zaidi....
 
Wewe ni Mdini sana.
Ndo mlivyo sishangai,wakati benki zinaanzisha islamic window kuna kiongozi wa dini alidai huo ni udini,udini wenu nyinyi huwa hamuuoni japo jicho lenu kwa mtu halioni bali dini ya mtu
 
Wameshindwa hata kutaja neno "bandari"?

Wale ni zaidi ya nyoka.

Na jana imewauma sana, huku Kikwete, Kula Mama Samia, pale Sultan, kule Mbarawa.

Khatr kubwa.
Kwa hiyo waislam walikuwa wengi hapo

Ova
 
Askofu Liberatus aliombea viongozi wqpate hekima na wawe na uzalendo kwa Taifa (by implication wamekosa hekima nq uzalendo)
 
Teh teh kwani hakuna wanaokujaga kueneza dini kutoka Iran Pakistan,kumbe nao wanafanya biadhara hizo teh teh
Hii dunia mkuu ishi ujuavyo tu

Ova
 
Siongelei uwingi au uchache.

Rusha roho.
Haya dada yangu,ila mbona mufti anamshukurugi sana jpm kwa kuusimamia ule msikiti wa bakwata mpaka kufika hapo
Maana bila yy kukomaa kisingefanyika chochote

Ova
 
....mmmmh mbona unamfokea au kwa sababu ni Bi Dada? Acha hizo, Mkuu.
 
First of all hakuna wanafk kma hao mashekh! Yan wakionaga waheshmiwa na macamera wao ni kuunga mkono hoja hata kama ni mbovu. Yan ukimtoa shekh ponda hao wengne ni vibarakoa vya wakulunzinza mav kabsa. Tec walsha weka mcmamo wao na kwa waumin wao nin kirekebshwe hvyo sio wanafk japo hatujui wenda hoja zao zltekelezwa. Kuna kina askof kakobe, mwamakula, niwemugizi wa ngara, mbarikiwa na wengneo tumewaona wapo real and straight foward ila hao ma shekhtwan wako kina mwaipopo ni mapopo kufata giza tu. Na dua alyosoma bishop sangu haijatoka nje ya maudhui may be ume think beyond bibi ajuza.
 
Dua yoyote kwenye shuguli za kuserikali ni unafki tu iwe ya kikristo au kislam. Hata wale wanao hapa huku wameshikilia biblia na wengine quran, ni unafki tu

Ova
Wote ULE ni Kama uchawi Maana Mungu hayupo Pale
 
Inafikirisha sana jamiiForum inapoelekea.
 
Teh teh kwani hakuna wanaokujaga kueneza dini kutoka Iran Pakistan,kumbe nao wanafanya biadhara hizo teh teh
Hii dunia mkuu ishi ujuavyo tu

Ova
Kwa mwandiko huo, sifahamu kama utaelewa tofauti ya "kueneza" na "kulingania".

Unaelewa tofauti yake?
 
Nilidhani labda umeona sheikh kaleta unafiki ndio ukaleta uzi ningeshangaa imekuaje uanze kuichanachana dini yako pendwa. Kwani askofu ni lazima atoke tec? Maaskofu wako wengi, kuna wa cptc na kkkt wangepewa nafasi wombe wangetaja bandari katika sala zao na dhamiri zao zisingewahukumu mungu wao angewasikiliza
 
Huyo ndiye mzalendo wa kweli.
Kazi za shetani waachiwe mashetani na majini wakomae na msala wao.
 
Hapo umekiri kuwa maaskofu wameleta unafiki, walichombezwa makusudi wakauvagaa.

Ngozi ya kondoo ikavuliwa hadharani, wamebaki utupu, ngozi ya kondoo hawana, ngozi ya chui hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…