Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

Maaskofu wameonesha ngozi yao kamili, chui ndani ya ngozi ya kondoo.
Maaskofu wamesema waliitwa pale bila kuambiwa wanaitiwa nini, pia bado msimamo wao ni kuwa hawaungi mkono ubinafsishwaji wa bandari hadi wausome mkataba uliosainiwa juzi
 
Huyo ndiye mzalendo wa kweli.
Kazi za shetani waachiwe mashetani na majini wakomae na msala wao.
EWameumizwa sana biashra zao.

Unafahamu toka mama alipofumuwa kule bandarini biasgara ya "polomosheni" za kutembezwa imeisha?

Dah tulikuwa tunapitishiwa macaroni (makoronya) orijino kwa bei ya kutupwa, mpaka nikawauliza wale wanayaiba wapi, wakanambia hawayaibi, mmoja akafunguka, kuna mzee wa kanisa anawapa watembeze, wapo wengi sana na wanapewa bidhaa tofauti tofauti kila siku.

Wataacha kununa na kususa?

DShetani hajifichi.
 
DP World siyo kuendeleza bandari tu, ni kichocheo cha ustawi wa uchumi wa Tanzania - Sultan CEO wa DP World.
Yangu macho!! Tutakapolizwa tutatafutana humu na wengine huenda wakabadilisha hata ID zao. Kumbuka hata kwenye madini enzi zileee ilikuwa vivyo hivyo leo tunakamuliwa badala ya kukamua.
 
Maaskofu wamesema waliitwa pale bila kuambiwa wanaitiwa nini, pia bado msimamo wao ni kuwa hawaungi mkono ubinafsishwaji wa bandari hadi wausome mkataba uliosainiwa juzi
Hawaungi mkono chochote chema kinachofanywa na Mwarabu na Muislam. Wakiunga mkono Waarabu na Waislam Itakuwa wameenda kinyume na ujio wa kanisa Afrika.

"mficha maradhi kifo humuumbuwa".

Juzi wameumbuka.
 
Yangu macho!! Tutakapolizwa tutatafutana humu na wengine huenda wakabadilisha hata ID zao. Kumbuka hata kwenye madini enzi zileee ilikuwa vivyo hivyo leo tunakamuliwa badala ya kukamua.
Usiwe na mawazo hasi kwa kujazwa ujinga tu. DP World hawapo Tanzania tu na hawataishia Tanzania tu.

Ziwahi fursa wanazokuja nazo. Kama huelewi vipi, uliza tukufahamishe.
 
Bila shaka unafahamu na kesi walizonazo katika baadhi ya nchi walikiwekeza!!!
Usiwe na mawazo hasi kwa kujazwa ujinga tu. DP World hawapo Tanzania tu na hawataishia Tanzania tu.

Ziwahi fursa wanazokuja nazo. Kama huelewi vipi, uliza tukufahamishe.
 
Wapi wewe...hata sasa PANYA YUPO GHALANI
 
Tusichanganye siasa na Dini by Kikwete. Askofu Yupo Sahihi
 
Kwenye ukristo hakuna dua kuna sala. Katoa maombezi imeisha hio. Nia yenu ni kutaka kuchonganisha tu daily
 
Hivi sheikh ukipewa mabomu ukalipue Vatican city si unaenda haraka kufanya hiyo kazi ya allah.
 
Hivi sheikh ukipewa mabomu ukalipue Vatican city si unaenda haraka kufanya hiyo kazi ya allah.

Vatican nikafanye nini,kwanza Kuna Njaa na uraibu wa madawa ya kulevya tuh,Tena mbaya Zaid naskia PAPA anatoa baraka Kwa NDOA za jinsia Moja.
 
Mimi nimefurahi sana na wamefanyuiwa makusudi wavuliwe koti la ukondoo wanaojivika.

Iniume tea, na mipango imesukwa ikasukika?
sasa mbona umeanzisha uzi kuwalalamikia huku ukiwaita wanafki, wana ngozi ya kondooπŸ˜‚πŸ˜†πŸ€£πŸ˜πŸ˜„

dua kwa mnya azi allah na mtume mudi inatosha sana.
 
sasa mbona umeanzisha uzi kuwalalamikia huku ukiwaita wanafki, wana ngozi ya kondooπŸ˜‚πŸ˜†πŸ€£πŸ˜πŸ˜„

dua kwa mnya azi allah na mtume mudi inatosha sana.

Si naionesha dunia unafiki wao? Hata wewe huoni umekuja kuushuhudia. Ungejuwaje?
 
Tangu lini bandari inaombewa Dua.? Halafu ni Dua ya nini.... Isipigwe na tsunami? Anyway, Wakristo hawanaga Dua.

Pia umesikia kuwa hawakuambiwa wamekaribishwa kwa jambo gani. Walidanganywa ili Wapigaji wafanikishe jambo lao. Sasa kama ulitaka waombee wizi, dhuruma na hadaa.... Imekula kwenu.
 
Unafikiri pale waliitwa kulikuwa na nini kinaendelea? Wakae wajambe jambe tu?
 
sikupenda aliposema waliokuwa wanapinga tuko nao hapa na badaye tutakula nao ubwabwa, sikupenda kabisa, ila kwa nn nao wakaenda? si wangetoa udhuru tu.
Hivyo ni vijembe, amewalaghai viongozi wa TEC halafu anamtuma huyo Zezeta awapige Vijembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…