Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

Kwa kutumia tu mfano wa Zimbabwe kuhalalisha wawekezaji inaonyesha ulivyo na upeo mdogo kuhusu maendeleo ya nchi. BTW unaona unavyokinganya mwenyewe kuwa waliondoka na Zimbambwe ikafa? Huoni hii ni sababu ya msingi kabisa ya kuona kuwa nchi inatakiwa ijijenge yenyewe ili isitegemee wageni wanaoweza kuondoka muda wowote?
Nchi gani duniani imeendelea bila foreign investors?
 
Hiyo mikataba ya kusainiwa kwenye Expo imejadiliwa kwa undani kweli? Au ndiyo mwendo wa enzi za upigaji za fisadi Kikwete watu wanasaini mikataba kwenye restaurant?
 
Just Memorundum of understanding...haina maana yoyote wala haimbani yoyote ktk kuitekeleza.
 
Soma uzi acha uvivu
Sekta zilizoguswa ni Kilimo, Madini, Utalii, Viwanda na Biashara

Maeneo wametaja mengi ikiwemo industrial parks za Kibaha na maeneo ya uwekezaji( Economic Zones)
Kwanini wasije kusaini hapa nchini maana vitu vyote vilivyo tajwa vipo nchini
 
Story za vijiweni wakati kitu kilikuwa kinalushwa live bila chenga

Kama uliamini utilities saini wa mikataba ya madini iliyokuwa inafanyika ikulu mbele ya JPM bila kuoneshwa iyo mikataba huna budi kuamini pia na mikataba
Upo mkataba wa Kabanga Nikel huko Ngara, uliotiwa sahihi na Mjomba Magu pale Bukoba Secondary.
Haupo wazi kwa wananchi,ulibidi uwekwe wazi bungeni kabla ya kutia sahihi, lakini Mjomba Magu hakufanya hivyo.Tuseme Mjomba Magufuli labda alisahau kuwa Bongo ni kwa raia wote,nobody is above the law.
 
Angeweka Saini Ujenzi wa Reli ya Mtwara Hadi Mbaba bay, au Reli ya Mpanda-Karema, Tabora-Kigoma katika viwango vya Reli za meme ningeona mama kaupiga mwingi lakini hiyo miradi ya kilimo, Madini nk ni pesa za watu kuweka mifukoni huku miradi ikinunuliwa magari tu refer kilimo kwanza
Mkuu hiyo miundo mbinu haileti pesa mezani kwa muda mfupi.Mikataba yenye kulenga kwa wajasilimali kwa muda mfupi ndio itazaa walipa kodi wengi watakao changia miundo mbinu hiyo.
 
Hadithi za kitaahira tu hizi.

Kikwete aliweka saini na rais aa China mikataba zaidi ya 50 lakini hakuna hata mmoja ambao umetekelezwa.

Hii story za kitoto wapewe watoto wadogo kama mtoa mada.
 
Mkuu hiyo miundo mbinu haileti pesa mezani kwa muda mfupi.Mikataba yenye kulenga kwa wajasilimali kwa muda mfupi ndio itazaa walipa kodi wengi watakao changia miundo mbinu hiyo.
Hiyo miundombinu ni strategic Kwa kuwezesha bidhaa kusafirishwa Kwa bei rahisi
 
Back
Top Bottom