Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #101
Pasipo mabadiliko ni ZERO. Mikataba iwe wazi tuione, ijadiliwe bungeni. Isije kuwa Ngorongoro ON SALE
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Bata bataniOyoooo [emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe shida yako ni mikataba kusainiwa au wapi imesainiwa? Ulitaka wawekezaji wote waliopo kwenye Dubai Expo waje Tanzania kusaini iyo mikataba?Uwekezaji unafanyika bongo saini zinaanguka umangani. Kasi iendelee maana muda hautoshi
Nchi gani duniani imeendelea bila foreign investors?Kwa kutumia tu mfano wa Zimbabwe kuhalalisha wawekezaji inaonyesha ulivyo na upeo mdogo kuhusu maendeleo ya nchi. BTW unaona unavyokinganya mwenyewe kuwa waliondoka na Zimbambwe ikafa? Huoni hii ni sababu ya msingi kabisa ya kuona kuwa nchi inatakiwa ijijenge yenyewe ili isitegemee wageni wanaoweza kuondoka muda wowote?
Weka mikataba iliyosainiwa hapa tuone ni ipi. Acha uchawaUmekurupuka huko unasema Ngorongoro on sale.
Nani kakwambia kuna mkataba wa Ngorongoro?
Taifa ambalo Rais wake anawekeza katika ufisadi haliwezi kamwe kufua dafu katika maendeleo hata lisaini mkataba wa uwekezaji wa trilioni bilioni moja🐒🐒🐒
View attachment 2133140
Peleka maombi bungeni ipelekwe kujadiliwa na kupitiwa na kamati?Weka mikataba iliyosainiwa hapa tuone ni ipi. Acha uchawa
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Umejua hujui eeh!!! Au hujui hujui?Peleka maombi bungeni ipelekwe kujadiliwa na kupitiwa na kamati?
Proof it otherwise utapelekwa lupango,Too general
isije kuwa nchi imeuzwa
Kwanini wasije kusaini hapa nchini maana vitu vyote vilivyo tajwa vipo nchiniSoma uzi acha uvivu
Sekta zilizoguswa ni Kilimo, Madini, Utalii, Viwanda na Biashara
Maeneo wametaja mengi ikiwemo industrial parks za Kibaha na maeneo ya uwekezaji( Economic Zones)
Huko nyuma mbona ilionekana kusaini mikataba nje ya ya nchi si sahihi kulikoni sasa!Ni jambo jema!
Upo mkataba wa Kabanga Nikel huko Ngara, uliotiwa sahihi na Mjomba Magu pale Bukoba Secondary.Story za vijiweni wakati kitu kilikuwa kinalushwa live bila chenga
Kama uliamini utilities saini wa mikataba ya madini iliyokuwa inafanyika ikulu mbele ya JPM bila kuoneshwa iyo mikataba huna budi kuamini pia na mikataba
Mkuu hiyo miundo mbinu haileti pesa mezani kwa muda mfupi.Mikataba yenye kulenga kwa wajasilimali kwa muda mfupi ndio itazaa walipa kodi wengi watakao changia miundo mbinu hiyo.Angeweka Saini Ujenzi wa Reli ya Mtwara Hadi Mbaba bay, au Reli ya Mpanda-Karema, Tabora-Kigoma katika viwango vya Reli za meme ningeona mama kaupiga mwingi lakini hiyo miradi ya kilimo, Madini nk ni pesa za watu kuweka mifukoni huku miradi ikinunuliwa magari tu refer kilimo kwanza
Hiyo miundombinu ni strategic Kwa kuwezesha bidhaa kusafirishwa Kwa bei rahisiMkuu hiyo miundo mbinu haileti pesa mezani kwa muda mfupi.Mikataba yenye kulenga kwa wajasilimali kwa muda mfupi ndio itazaa walipa kodi wengi watakao changia miundo mbinu hiyo.