macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Nchi zote zilizoendelea. Halafu wewe unataka ku-mislead mjadala huu kwa kuingiza mambo ambayo sikusema. Nisikilize tena: Nimesema wawekezaji wa kigeni wanatakiwa, lakini siyo kwa njia anazotumia rais wetu za kuzunguka kila sehemu akibembeleza na kupiga magoti. Kuwe na utaratibu wa kuwapokea. Huwezi kukurupuka na kusema bila wawekezaji nchi haiwezi kuendelea na unapiga vigelele kila unapoingia mkataba kama ninyi mnavyofanya. Wawekezaji wanakuja kwa faida zao na wanaweka maslahi yao mbele. Msiwe na mawazo kama ya waswahili wa Pwani.Nchi gani duniani imeendelea bila foreign investors?
Ni mikataba gani ya kipigaji ambayo Kikwette aliingia? Au mumebakia kukaririshwa propaganda za Mwendazake?Hiyo mikataba ya kusainiwa kwenye Expo imejadiliwa kwa undani kweli? Au ndiyo mwendo wa enzi za upigaji za fisadi Kikwete watu wanasaini mikataba kwenye restaurant?
Hajui wala hana uwezo wa kujua mikataba kama hiyo. Hawa ni wapumbavu wanaopiga kelele kwenye level za chini ili mradi mkono uende kinywani.Weka mikataba iliyosainiwa hapa tuone ni ipi. Acha uchawa
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Jamani amkeni amkeni
Huko dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 17 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2.
Mikataba iyo inahusu maeneo ya Kilimo, Madini, Biashara, Utalii na Uzalishaji wa Viwanda
Hongera sana Mhe. Rais kwa jitihada hizi. Mungu akubariki kwa kweli. Haya ndo maendeleo tunayotaka Watanzania
Kutoka Nyasa, ziwani
Lord denning
Nchi gani ya kiafrika ambayo imeendelea kutegemea wawekezaji wa ndani ambao sio wazungu au ngozi nyeupe ya nje? Afrika kusini iko juu sababu ya wazungu nipe mfano mmoja tu wa nchi yeyote ya kiafrika ambayo uchumi uko juu kwa kutegemea ngozi nyeusiKwa kutumia tu mfano wa Zimbabwe kuhalalisha wawekezaji inaonyesha ulivyo na upeo mdogo kuhusu maendeleo ya nchi. BTW unaona unavyokinganya mwenyewe kuwa waliondoka na Zimbambwe ikafa? Huoni hii ni sababu ya msingi kabisa ya kuona kuwa nchi inatakiwa ijijenge yenyewe ili isitegemee wageni wanaoweza kuondoka muda wowote?
Upuuzi ni kuona mtu anaepinga ufisadi kuwa anafanya upuuzi🐒🐒🐒Katafute ajira kwenye uwekezaji unaokuja uache kupost upuuzi
Kazi na bataBata batani
Wapumbavu ndio wanaoamini kila kilichosaini hakina makosa. Huku Afrika ikididimia kwa ukosefu wa uzalendo na uaminifu kwa mali za umma. Wapumbavu wengi wanaishia kupewa kofia, viberiti na kushangiliaHajui wala hana uwezo wa kujua mikataba kama hiyo. Hawa ni wapumbavu wanaopiga kelele kwenye level za chini ili mradi mkono uende kinywani.
AiseeeNchi gani ya kiafrika ambayo imeendelea kutegemea wawekezaji wa ndani ambao sio wazungu au ngozi nyeupe ya nje? Afrika kusini iko juu sababu ya wazungu nipe mfano mmoja tu wa nchi yeyote ya kiafrika ambayo uchumi uko juu kwa kutegemea ngozi nyeusi
Tanzania uchumi wetu wa ndani unategemea ngozi nyeupe wahindi,waarabu na wapemba ndio big taxpayers
Exports tunategemea soko la wazungu sio la nchi za waafrika wenzetu ngozi nyeusi
Mama Samia yuko vizuri
Basi tumpejina la ombaomba mkuu the best ombaomba [emoji1787][emoji1787]Huyu Mama sio mchezo kwa kweli! Huu ushawishi wake sio wa kawaida
Namwunga mkono sana Rais Samia katika mtazamo wake wa kujenga uchumi. Kitu pekee anachonikwaza kwa kiasi kikubwa ni kumbambikia kesi Mbowe na Makomandoo. Hilo linaua mazuri yake yote, maana ukiwa kiongozi hata ufanye mazuri gani kama unadhulumu watu haki zao, wewe unakuwa ni uzao wa shetani.Fungua nchi Mama Samia. Nchi inahitaji mitaji toka nje ili izalishe ajira. Cha msingi ni kukwepa mikataba ya kitapeli na kifisadi.
Afadhali hao Wachina hawakuja. Hakuna watu wa hovyo katika uwekezaji kama Wachina. Wachina ni waganga njaa, siyo wawekezaji.Hata JK alisaini na rais wa China mikataba mingi lakini mpaka leo hakuna utekelezaji
Kanyaboya/ boshen tupu
Unashangulia kitu gani wakat mikataba yenyewe hujapata details vipengele vyake.Huyu Mama sio mchezo kwa kweli! Huu ushawishi wake sio wa kawaida
PUTIN SIO BINADAM WA KAWIDA.dah sijui kama tutaitekeleza hiyo mikataba, Maana Putin tayari ameshawasha Manyuklia yake huko anasubiri kupress button tu dunia iimbiwe parapanda..
Hivi wachawi wako wapi!?? Kwanini wasimpige Putin Radi tudah sijui kama tutaitekeleza hiyo mikataba, Maana Putin tayari ameshawasha Manyuklia yake huko anasubiri kupress button tu dunia iimbiwe parapanda..