Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

Jk mbona hujamtaja.Sasa hivi huyo ndiyo bosi wa bosi
 
Bado na wewe unamuuwekea code tena hahahaah
 
Sahihi.

Nahisi hayo majina ya watu yanasimama kama Taasisi ambazo hao watu wanahudumu kama principals au wakuu fulani katika taasisi hizo.
 
Halafu kwa nini anaongea kimafumbo angeweka bayana hilo dude limefanyaje na kutatokea nini.
Maana yake hapo chochote kitakachotokea atasema alishaona kitatokea
Nafikiri mleta mada hayupo kwa ajili ya wachangiaji kuthibitisha ya kutokea na kutokutokea kwa yale anayoyaandika.
Haya mengine ni brabra zetu tu sisi wachangiaji kuvuta muda, giza liingie tukalale.

Pia sidhani kama kila ujumbe unaoandikwa humu unapaswa kwenda kwa kila mmoja.
 
Hapa nahisi kuna watu wanawasiliana ila sisi tumeshupaza kutafsiri, Kumbe inawezekana wanaambiana tukutane jion bar ya chamwino🤣🤣🤣
 
Exactly, refers to Sheikh Hasina wa Bangladesh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…