Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

Hii inatisha ndani kwa ndani aisee

Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!

Hapumui,

Cha msingi msiache glass za maji wazi .


Britanicca!!!
Sio kuacha glass za Maji...hata Maji ya kuletewa hapana kwa sasa .
Huyu fast ana Akili kubwa,kapisha 'jambo muhimu' ili asikilize ,wimbo,'halafu aendelee na 'wimbo wake' ...duh
 
Namba 4 haina uhuru kwa maslahi ya nchi hasa usalama.
 
Akili zako ni mfu
 
Hii inatisha ndani kwa ndani aisee

Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!

Hapumui,

Cha msingi msiache glass za maji wazi .


Britanicca!!!
Sema wazi, ni nini hii inayotafuna? Maisha, woga, au kitu kingine? Na mbona glass za maji? Hebu toa context kidogo🔥
 
Marais hwajawahi kuteuliwa kwa misngi ya dini. Katiba yetu haisemi hivyo. Katiba inataka Mgombea akitoka upande moja basi makamu atatoka upande wa pili wa muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…