Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Unaufahamu mfumo wa umeng'enyaji wa chakula (alimentary canal)?Ila kuwa fukara na maskini nu ufahari? Jamanii waja mbona mnachekesha sana.
Mnajifariji hata pale ambapo hamna.
Alooooh. ππ
πππ anachekesha hatariii.Anajiita mamba sauti ya kenge πΉπΉπΉ
Umekuja na Bios tena? Sitaki kurudi class, em niache, tujadili mada iliyopo, sina hitaji tuition, nimevuka huko zamani sana.Unaufahamu mfumo wa umeng'enyaji wa chakula (alimentary canal)?
Dudu pesa hana.. level zake kina Q Chillah πΉπΉπΉNakuambia watu wanaokoteza vi clip uchwara kumpamba kichaa, eti ana hela.
Watu wenye hela wanawajua? Ndio maana Domokaya huwa anawachamba Waja, πππ
Najua umepotea, nataka nikurudishe kwenye mstari, uwe mwanaume wa shoka.Umekuja na Bios tena? Sitaki kurudi class, em niache, tujadili mada iliyopo, sina hitaji tuition, nimevuka huko zamani sana.
Usitafute ahueni na hakuna, huyo kichaa alikaidi wito wa waziri, ndipo waziri akatoa press akamatwe na akapimwe akili, lakini yeye kichaa baada ya kuona press ile akajisalimisha mwenyewe kituoni, wala polisi hawakupata tabu kumfuata.Swali langu ,mnakumbuka waziri wa mambo ya ndani aliagiza akamatwe na apimwe akili je ,utekelezaji ulifanyika ? Kama haukufanyika unadhani ni kwa Nini ?
Matokeo si ndiyo kama haya unaungurima hapa kwa chuki na hasira kisa shoga mwenzako Omari Dimpoz kaambiwa ukweli...Kwani huyo ommy ameomba pampasi kwake kichaa? Au yeye kichaa asaidiwe visungura na nyagi kutoka kwa ommy? Lol
Ameanza Leo sasa hiyo movement? Mbona hatuoni matokeo? πππ
πππ udugu nacheka km mwehu hapa. Mtu anaonesha yuko hoi, kiuchumi. Kimwili na kiakili, halafu waja wanakuja na blah blah zao hapa.Dudu pesa hana.. level zake kina Q Chillah πΉπΉπΉ
Angekuwa na pesa asingekubali show za Chaka 2 Chaka zenye kisingizio cha miaka 30 ya bongo fleva..!!
Hata malipo yake ni tofauti na kina Ommy anaowaponda..!!
Sasa mtu ana chat na Kikwete kwa hii serikali unamkamata vipi?Swali langu ,mnakumbuka waziri wa mambo ya ndani aliagiza akamatwe na apimwe akili je ,utekelezaji ulifanyika ? Kama haukufanyika unadhani ni kwa Nini ?
Hao walioko kwenye mstari ndio hawa choka mbaya, hoe hae, etc? Au wepi unao wazungumzia wewe?Najua umepotea, nataka nikurudishe kwenye mstari, uwe mwanaume wa shoka.
Mambo ya wanawake uwaachie wao wenyewe.
Yaani mie niwe na hasira au chuki kwa huyo kichaa? Nimeshavuka huko zamani sanaa.Matokeo si ndiyo kama haya unaungurima hapa kwa chuki na hasira kisa shoga mwenzako Omari Dimpoz kaambiwa ukweli...
Au ulitaka matokeo yapi? Dudu Baya yeye raha yake ni kuwakera tu...
Hapo kwenye pesa nimekataa. Wenye pesa hawako kama yule mlevi wa gongo mwitu..!! πΉπΉπΉπππ udugu nacheka km mwehu hapa. Mtu anaonesha yuko hoi, kiuchumi. Kimwili na kiakili, halafu waja wanakuja na blah blah zao hapa.
Lol
Maisha ni zaidi ya pesa, huwezi kupoteza uanaume wako kwa sababu ya tamaa ya pesa.Hao walioko kwenye mstari ndio hawa choka mbaya, hoe hae, etc? Au wepi unao wazungumzia wewe?
Sahivi unaambiwa anachati na kikwete, utadhani huyo ommy hachati na kikwete, wakati ommy hadi Rais wa π«π· anapiga nae story tena sio kwa simu, ni live.Hapo kwenye pesa nimekataa. Wenye pesa hawako kama yule mlevi wa gongo mwitu..!! πΉπΉπΉ
Mashoga wote lazima mtetee mambo haya wewe ni msagaji na masagaji tunayapinga kwa nguvu zote kwa jina la baba na la mwana kupitia Yesu Kristo Muhammad aminaHuyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
ππππ Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Wewe masagaji na mashoga ndio mamtu yako, Macron ni nani sasa? Anapiga picha na kila kiumbe na sio picha tu hata makofi anapigwa na mkewe hadi na raia MSAGAJI WEWESahivi unaambiwa anachati na kikwete, utadhani huyo ommy hachati na kikwete, wakati ommy hadi Rais wa π«π· anapiga nae story tena sio kwa simu, ni live.
πππ
Ushafumuliwa marinda wewe umeshindwa kulinda mgongo pako waziHapo kwenye pesa nimekataa. Wenye pesa hawako kama yule mlevi wa gongo mwitu..!! πΉπΉπΉ
Hakuna zaidi ya Pesa, usilete uongo hapa, tunaona kila siku hao wanaume lijari mnaowasema wanakuja jf hapa kuomba misaada na hamuwapi, tena hizo nyuzi mnazipita km hamzioni, sana mnaishia kusema wafanye kazi, wakisema muwape basi hizo kazi mnapoteana.Maisha ni zaidi ya pesa, huwezi kupoteza uanaume wako kwa sababu ya tamaa ya pesa.
Waliopoteza mwelekeo, wanatakiwa watubu na wapigwe nyuzi ya kupunguza kipenyo, na warudi kundini.