πΉπΉπΉπΉ Ommy dimpo sio kuchat bali kwa KIKWETE ni kama family friend kwake..!!Sahivi unaambiwa anachati na kikwete, utadhani huyo ommy hachati na kikwete, wakati ommy hadi Rais wa π«π· anapiga nae story tena sio kwa simu, ni live.
πππ
πππ mabwakuu.Mashoga wote lazima mtetee mambo haya wewe ni msagaji na masagaji tunayapinga kwa nguvu zote kwa jina la baba na la mwana kupitia Yesu Kristo Muhammad amina
πππ uduguu niachee, niko hoi hapa mbavu sina mwenzio.πΉπΉπΉπΉ Ommy dimpo sio kuchat bali kwa KIKWETE ni kama family friend kwake..!!
Anaingia na kutoka msoga kama anaenda toi..!!
Mamba anachat na kikwete au kiwete?
Em wasichangnye spelling kwanza..!! πΉ
Mi nikifumuliwa wewe unaumia nini?Ushafumuliwa marinda wewe umeshindwa kulinda mgongo pako wazi
Kisukari kiko juu mwaego? Ama ni gani?. Em relaax.Wewe masagaji na mashoga ndio mamtu yako, Macron ni nani sasa? Anapiga picha na kila kiumbe na sio picha tu hata makofi anapigwa na mkewe hadi na raia MSAGAJI WEWE
πππ uduguu basi, plz kwamba niajee??Mi nikifumuliwa wewe unaumia nini?
Shida ya ukoo wenu imekuwa imeisha?
Mumeo ataishi na wewe milele bila kukusaliti? Vipi kuna relief unapata na msoto wa maisha? πΉ
Wao wamsifie kuhusu kulewa na kutukana huyo kichaa mwenzao sio kuharibu brand za watu..!!πππ uduguu niachee, niko hoi hapa mbavu sina mwenzio.
Yaani wafuasi wa kichaa. Wanakuja na hoja zinazochekesha mnoo.
Khaaah
Mama nani..!!Dimpozi wa Mamaπ
Emmanuel Macron naye si kundi hilo hiloSahivi unaambiwa anachati na kikwete, utadhani huyo ommy hachati na kikwete, wakati ommy hadi Rais wa π«π· anapiga nae story tena sio kwa simu, ni live.
πππ
Kuna kazi za kung'oa visiki na kuponda kokoto hawatakiHakuna zaidi ya Pesa, usilete uongo hapa, tunaona kila siku hao wanaume lijari mnaowasema wanakuja jf hapa kuomba misaada na hamuwapi, tena hizo nyuzi mnazipita km hamzioni, sana mnaishia kusema wafanye kazi, wakisema muwape basi hizo kazi mnapoteana.
Waja kwa unafiki siwawezi, πππ
Dimpoz ni NaiNai sanaπ€Umaskini mkubwa ni kukosa afya njema, hata siku moja mali na pesa haijawahi kumtosha mtu. Msimamo wa Dudubaya ni wa kiume. Kwanza huyu Dimpoz unamuonaje ?
Hao machizi kwa akili zao finyu hawaoni kama wanamuharibia mwenzao kuharibu brand yake kwa kumtetea mnywa visungura mwenzao..!πππ uduguu basi, plz kwamba niajee??
Uwiiiiih.
Hivi kwanini kila kesi lazima muhusishe visunguraHao machizi kwa akili zao finyu hawaoni kama wanamuharibia mwenzao kuharibu brand yake kwa kumtetea mnywa visungura mwenzao..!
Ukiwaambia wanakimbilia kukuita shoga ili wapone maumivu ya kuwa maskini..!
Wanaacha kutafuta kazi wana kazi ya kudiss wengine. Wakiambiwa walete ushahidi wanajichekesha kama mataahira..!!
Mimi Ommy simpendi lakini linapokuja suala la kuharibiana ugali huwa nakuwa mkali.
Mtu anapambana atoke kwenye umaskini wao wanataka kumchafua awe kapuku kama wao..!!
Pombe za watu waliojikatia tamaa..! πΉHivi kwanini kila kesi lazima muhusishe visungura
Shida iko wapi
Watumiaji utawajua tu mkuu..Hivi kwanini kila kesi lazima muhusishe visungura
Shida iko wapi
Sio kweliPombe za watu waliojikatia tamaa..! πΉ
Hii mental case ipelekwe mirembe Sio majukwaaniMsanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku akieleza kuwa kwa mtazamo wake Ommy hakustahili kupewa nafasi hiyo na hata kutumia kauli kali dhidi yake.
Baada ya kuanza kutoa kauli hizo, Mic ya Dudubaya ilizimwa, jambo lililomkasirisha msanii huyo. Kwa hasira, Dudubaya alionekana kuitupa Mic hiyo chini, kisha akaamua kususia show na kuondoka stejini.
Tukio hili limeibua mjadala kuhusu uhuru wa wasanii kuzungumza wakiwa stejini, mipaka ya kile kinachoweza kusemwa kwenye matamasha, pamoja na mamlaka ya waandaaji na wadhamini katika kusimamia maudhui ya tamasha.
Na je, kuzima Mic ilikuwa njia sahihi ya kuzuia kauli hizo, au angepewa nafasi amalize kuzungumza?
Je alicho Fanya Dudu ni sahihi?
Bado anafanya kazi za Graphic design na GSM?Dimpoz mwanangu sana na anapenda sana kukaa kwenye Bnb zangu kule Zanzibar, nilishawahi kuleta uzi kuhusu lifestyle yake na izo claims za kuwa yeye ni shoga ila nilishambuliwa sana.
Honestly sina uhakika kama anamegwa ila sifikiri kama kuna msanii anaongoza kwa kumiliki pisi kali hapa Bongo kupita Ommy Dimpoz.
Mimi ni Team Mambazz 24 ila mliokaribu nae mshaurini apunguze bangi
Maduka yake yapo wapi mkuu mie nikachukue jeans la kumalizia umri huu wa uzee.Kwenye biashara yupo vyema,ila watu wanashindwa kumuelewa n kutokana na harakat zake alizo zianzisha
Kichaa kinacho msumbua ni hataki kukubali ukweli, kuwa mda wake umepita, na hakuwekeza.Hao machizi kwa akili zao finyu hawaoni kama wanamuharibia mwenzao kuharibu brand yake kwa kumtetea mnywa visungura mwenzao..!
Ukiwaambia wanakimbilia kukuita shoga ili wapone maumivu ya kuwa maskini..!
Wanaacha kutafuta kazi wana kazi ya kudiss wengine. Wakiambiwa walete ushahidi wanajichekesha kama mataahira..!!
Mimi Ommy simpendi lakini linapokuja suala la kuharibiana ugali huwa nakuwa mkali.
Mtu anapambana atoke kwenye umaskini wao wanataka kumchafua awe kapuku kama wao..!!