Kweli kabisaa ana hasira na waliofanikiwaHuyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
😂😂😂😂 Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Una muona anaweza ku afford? Hizo nyagi na vant, ambazo zina mtia wazimu, sometimes anagongea. LolKwamba hawezi kuafford milo 3?
Sijui yukoje huyu, ana wivu tokeapo wala sio mgeni huyu, LolKweli kabisaa ana hasira na waliofanikiwa
Itafilisiwa hiyo na haitatoshaNgoja nikumegee kidogo 🥱 🥱 mkuu,mamba ana duka kubwa la nguo za jumla na reja reja
Mlongo sio mropokaji, ni Kichaa cha umaskini kimempata huyu mzee.Mropokaji,amuache mwenzie na maisha yake.
Sina wanasema ana duka la jumla, hana njaa😀😀Ana hela ya kuandaa show? 😂😂😂
Dear usitake kuchekesha watu ujuem
Kwahiyo anapunguza makali Kwa wenzie😁Mlongo sio mropokaji, ni Kichaa cha umaskini kimempata huyu mzee.
Kwanza hizo story za duka naona wafuasi wake wanampamba tu hapa, hana lolote.Sina wanasema ana duka la jumla, hana njaa😀😀
Mi ananikera kwenda kuropoka kwenye shoo za wenzie.
Huyo ni chizi, ndio maana Katambi akasema akamatwe na akapimwe akili.Kwahiyo anapunguza makali Kwa wenzie😁
Maana sioni kinachobadilika tokea aanze kuwadhalilisha wenzie,,,atakutana na mmoja atamnyoosha,,,akatoe ushahidi.
😹😹😹 Duka la jumla?Ngoja nikumegee kidogo 🥱 🥱 mkuu,mamba ana duka kubwa la nguo za jumla na reja reja
Hakuna na ushahidi Hana,huyu kaka ni chizi.Mtu aliyeweza kuongea hadaharani kwa mwanae kwamba alimkaza mama yake kwenye treni ndo akazaliwa. Nyie mnamuona yuko timamu??
Yeye apige muziki watu waburudike habari za kusema mtu chakula yeye alimla?
Juzi tu hapa alikua anashindia energy drink, ana maisha gani ya kuharibia sifa wenzake si ange mfata pembeni wakaongea kama mtu na mdogo wakeEti Hana njaa, story mnatoaga wapi? Wasio na njaa mnawajua lakini??
Wana akili za kimaskini hao, biashara hawazijui mtu akiwa na vi Michele kilo tano sembe na visukari vya pakti washampa jina mfanya biashara mkubwa, ni Bora ukaishia porini kuliko kuishi na fukara, fukara akiona mambo yanakuendea vizuri ni kosa kwake, atazusha kila jambo ili tu ajiriwaze mpo pamoja😹😹😹 Duka la jumla?
Nikitaka piece laki moja napata dukani kwake?
Mna utani na maduka ya jumla nyie..!!
Ana muharibia si ange mfata pembeni kama mtu na mdogo wake, yani kuwa na makaka kama hawa wenye akili za hapahapa mtihani sanaMropokaji,amuache mwenzie na maisha yake.
Majinga ni mengi hii dunia, muulize huyo dogoli tukimwambia akatuoneshe Hilo duka atatupeleka, au naye anasikia tuItafilisiwa hiyo na haitatosha
Too much is harmfulSina wanasema ana duka la jumla, hana njaa😀😀
Mi ananikera kwenda kuropoka kwenye shoo za wenzie.