Wewe hana maisha huyo, em acha kumpamba, nyumba hana wala hilo duka mnalosema halipo.Wasanii wengi ikitokea kwenda India hupitisha bakuli kwake uliliona ilo?
Una uhakika? Toa uthibitisho hapa.Wala hiyo sio sababu ya watu kusema hivyo
Kama mnahisi yanayosemwa ni utani/uzushi basi haya
Basi punguza porojo kwa jambo usilolijua.Sina huo muda,
Nani hajui kuwa yeye na Mr nice walikua wana share muarabu alikua boss Wa moro united. Na aliwekeza nini kule Arusha.Tatizo naye ana skendo ya kugombea basha.
Sawa mjuziBasi punguza porojo kwa jambo usilolijua.
Mjuzi ni mmeo.Sawa mjuzi
Kwahiyo km hatakutwa na marinda basi ameingiliwa? Hivi mnajua hata sheria zikoje? Muwage mnajisomea kujipatia maarifa.ishu imekaa kimtego hiyo. OMMY akisema aende kumshtaki kisha ampeleke mahakamani jamaa akiambiwa athibitishe, Ommy aende kwa dokta afu akutwe hana marinda kweli hahahaha
Umesema vipimo havikutoka.. we ulitaka hayo majibu watangaze redioni?Tatizo lako wewe kujifanya una ufahamu sana kuliko wenzio, halafu taratibu huzijui.
Noel na Aggrey walienda kupimwa muhimbili, mbona majibu hawajayatoa? Maana km mtu amemuingilia inatakiwa atafutwe muingiliaji.
Sio kwamba hawawezi kumshitaki ni vile wamempuuza tu, kichaa huyo.
Afu umeniingiza mie tena? Hakuna mtu huku uraiani akaniita shoga, nitamnyoosha hadi ajute kunifahamu, sichezewi mie. Oooh.
Na haitokaa iishe, πππVita yenu haiishagiπ
Mnayakemea mchana, usiku mnayabembeleza.Unaona tunavyoyakemea mkuu.
Hawana wanachojua hawa, wamekaa ki mhemko tu.Ukitoa tuhuma zenye udhalilishaji, mtuhumu ndio mwenye burden of proof. So, kumuita mtu shoga unapaswa wewe mtuhumu ulete ushahidi wa ushoga, mfano Alete video ikionyesha jamaa anakazwa. Ila sio maneno matupu tu. Atalipa faini huyu.
Sikatai...Mnayakemea mchana, usiku mnayabembeleza.
UNAFIKI, UNAFIKI, UNAFIKI. ππ
Mbona walipo wakamata walitoa press kwa umma, kuwa wanapelekwa muhimbili kufanyiwa vipimo? Kwanini majibu wasiyatoe kwa umma pia? Sasa nikuambie tu walilipwa fidia hao wahusika, maana walichotaka kukifanya wao wakakataa, ilibidi wawape kitu wakae kimya.Umesema vipimo havikutoka.. we ulitaka hayo majibu watangaze redioni?
Ushoga mnafanya ila ukiitwa hilo jina hutaki Kwanini?
Inapaswa ujivunie hio sifa, sasa mtu unaliwa kisamvu halafu ukiitwa jina linalokustahili unakasirika... unakasirika nini? Kama hutaki kuitwa shoga acha ushoga....
Hakuna cha kumpuuza, hilo jamaa Mambaz linafahamu linachofanya...
Hao mashoga wamezunguka kote wakaambiwa taratibu za kufungua hio kesi wakaona waache tu... kwa sababu ni machawa wakaona wakashtaki kwa viongozi ... ndio maana ukaona Dudu Baya , hao mashoga n.k wanaitwa... lengo ni kama kuondoa utofauti...
Mambaz akakataa akasema siwezi kukaa na shoga...
Sasa usijumuishe wanawake wote kuwa wanawapenda mashoga, hapana.Sikatai...
Ila inahitaji kipaji maalumu kulala na mwanaume mwenzako...
So hao wenye vipaji maalumu wapo binti, ila haiondoi haja ya vitendo hivyo kukemewa...
Sio wote ila naona wengi mna tabia hizo...Sasa usijumuishe wanawake wote kuwa wanawapenda mashoga, hapana.
Kwani wewe ndio ommyHuyu naye wakati akiwa kwenye prime hakuwekeza, sahivi kafulia, hana lolote, akikumbuka wakati huwa haurudi nyuma, basi anajawa na makasiriko na chuki dhidi ya wenzie waliomzidi mafanikio.
Hebu akae atulizane, hata apayuke vipi hawezi kufanikiwa, tena anajichosha tu, maana wabongo wanamchekea hapo, wakishatoka wanasahau, yeye anabaki na maumivu deilee.
ππππ Kichaa cha umaskini kimempata mwanetuu.
Ndio mimi.Kwani wewe ndio ommy
Ni sawa na wanaume wengi wanawakula mashoga, ila sio wote.Sio wote ila naona wengi mna tabia hizo...
Angalia mfano wewe na wenzako hapo juu...
Ndio mimi.