PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.

Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba

Kwani ile maana ya kujia kusoma na kuandika tu,unafikiri ilikuwa na maana gani?ni kuwa kwenye mambo ya msingi ya kitaifa hata kamari ruksa. au mimi naota?
 
Wananchi wangekuwa na akili wasingekuwa wanawachagua hao wabunge wajinga.
 
Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.

Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba

Kabisa wajinga na wapumbavu
 
Ngoja niwapige mdomo kidogo.

Unajua watanzania wengi ni wavivu ndiyo mana wanawachukia sana viongozi wa kisiasa.

Hamuwachukii kwa sababu wapo kwenye siasa ila mnawachukia kwa sababu mnahisi wanapata vihela hela huko. Chuki yenu kubwa ipo kwenye maokoto na sio nafasi zao za uongozi. Hata kwa machawa pia ni vile vile.

Pambana upate vihela vyako, serikali haiwezi kutatua shida binafsi.
Kama huna akili jitahidi wengine wasijue
 
Wananchi wangekuwa na akili wasingekuwa wanawachagua hao wabunge wajinga.
Wewe umeingia lini nchini??
Ccm inachaguliwa au inakwapua uchaguzi.

Kwa akili ya kawaida kuna uwezekano wa majimbo zaidi ya 90% wabunge kupita bila kupingwa.

Mbunge anaegombea ni mmoja tu wa ccm hapo utasema wananchi wamemchagua??
 
Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.

Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba

Aisee Dudubaya ana akili nyingi sana. Ameongea ukweli mchungu.
 
Kwani katiba yenyewe inasemaje?

Dudu kama dudu
 
Back
Top Bottom