tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Dudebaya yupo sahihi 💯%. Mibunge mingi ya CCM ni zamwama, haijui kusoma wala kuandika lakini imetunisha macho mle bungeni kama chura inagema posho tu. Hayana hata huruma na wananchi. Yanajali kuvuna posho tu haya majitu ya ovyo sana.Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba