Wananchi hawana akili ndiyo maana wanakubali dhulma kama hii kufanyika. Walipaswa kuandamana na kupindua serikali inayofanya ujinga huu.Wewe umeingia lini nchini??
Ccm inachaguliwa au inakwapua uchaguzi.
Kwa akili ya kawaida kuna uwezekano wa majimbo zaidi ya 90% wabunge kupita bila kupingwa.
Mbunge anaegombea ni mmoja tu wa ccm hapo utasema wananchi wamemchagua??