MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
Kwa wakati huo na mahitaji ya uhuru na post uhuru katiba ilikuwa relevant. Alichofeli ni kuamini aatakao waachia, watabadili katiba ili kuendana na mahitaji ya vizazi vijavyo. He was so so wrongUfafanuzi
Tusimlaumu maana kwa nyakati zake ilifaa.. Wa kuwalaumu ni wale walioshindwa kuikarabati ili kuendana na nyakatiUfafanuzi
Kuna mwingine toka 1997 hadi 2015 anarisiti tu halafu leo ni mbunge akiwakilisha kenge zake.
Hakuna mwananchi anachagua mbunge.Hakuna cha rushwa wala nini.
Wananchi wenyewe ni wajinga ndiyo mana wanawachagua wajinga.
Watanzania wengi hawajui wanataka nini ndiyo mana wanachezewa na wajinga.
Hata mashairi yao ni ya kijinga jinga tu.
wewe na dudubaya nani saa mbovu?sometimes Saa mbovu ⏱️⌚ huwa inaongea ukweli.
wewe na dudubaya nani saa mbovu?sometimes Saa mbovu ⏱️⌚ huwa inaongea ukweli.