Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
HakikaDudu Baya Ana hoja, asikilizwee.
HakikaDudu Baya Ana hoja, asikilizwee.
Sio kwa Tz hii mkuu, sio kua hawana akili ni uogaWananchi hawana akili ndiyo maana wanakubali dhulma kama hii kufanyika. Walipaswa kuandamana na kupindua serikali inayofanya ujinga huu.
Hili Ndindindi Karume Kenge eti nalo ni li bunge.
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.Hakuna cha rushwa wala nini.
Wananchi wenyewe ni wajinga ndiyo mana wanawachagua wajinga.
Watanzania wengi hawajui wanataka nini ndiyo mana wanachezewa na wajinga.
Hata mashairi yao ni ya kijinga jinga tu.
Yaan Mimi huwashangaa watu wanao feli kidato Cha nne.Kuna mwingine toka 1997 hadi 2015 anarisiti tu halafu leo ni mbunge akiwakilisha kenge zake.
Ndio maana hawajui kujenga hoja ,Hata tunaoamini Kwenye biblia imeandikwa elimu,Mkamate sana elimu,Usimuache ndio Uzima wako!.Tafuta Kwenye Mithali.Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
Serikali haijawahi tatua shida binafsi, ila vitu ya kitaifa visaidie Taifa...Ngoja niwapige mdomo kidogo.
Unajua watanzania wengi ni wavivu ndiyo mana wanawachukia sana viongozi wa kisiasa.
Hamuwachukii kwa sababu wapo kwenye siasa ila mnawachukia kwa sababu mnahisi wanapata vihela hela huko. Chuki yenu kubwa ipo kwenye maokoto na sio nafasi zao za uongozi. Hata kwa machawa pia ni vile vile.
Pambana upate vihela vyako, serikali haiwezi kutatua shida binafsi.
Kajaribu uone kitakachokupata.Si ndio hao ubunge wanaununua?
Hakuna cha rushwa wala nini.
Wananchi wenyewe ni wajinga ndiyo mana wanawachagua wajinga.
Watanzania wengi hawajui wanataka nini ndiyo mana wanachezewa na wajinga.
Hata mashairi yao ni ya kijinga jinga tu.
Vidole havilingani ndio maana hata wewe huna pesa za kumfikia hata mo tuYaan Mimi huwashangaa watu wanao feli kidato Cha nne.
Sijawai ona somo gumu o-level
Mathematics somo jepesi Sana na huwezi KOSA C
Nitajiee somo gan o level la kufanya mtu awe risita
Humu duniani kuna watu wameumbwa mikia tu…Yaan Mimi huwashangaa watu wanao feli kidato Cha nne.
Sijawai ona somo gumu o-level
Mathematics somo jepesi Sana na huwezi KOSA C
Nitajiee somo gan o level la kufanya mtu awe risita
Nani kawachagua? Ukumbuki jiwe alifanyaje.? Tukubali tu madhaifu ili tuweze rekebisha!Wananchi wangekuwa na akili wasingekuwa wanawachagua hao wabunge wajinga.
Tulipaswa kutumia nguvu ya umma ya mapanga. Lkn kwa kuwa wananchi akili hatuna ndiyo maana tuko kimya. Usitegemee ccm watarekebisha mifumo tukiendelea kuwachekeaNani kawachagua? Ukumbuki jiwe alifanyaje.? Tukubali tu madhaifu ili tuweze rekebisha!
Kweli mkuu, naunga mkono hojaa.Humu duniani kuna watu wameumbwa mikia tu…