Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwani ile maana ya kujia kusoma na kuandika tu,unafikiri ilikuwa na maana gani?ni kuwa kwenye mambo ya msingi ya kitaifa hata kamari ruksa. au mimi naota?Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
Kabisa wajinga na wapumbavuMsaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
Mkuu Una uhakika huwa wanachaguliwaHakuna cha rushwa wala nini.
Wananchi wenyewe ni wajinga ndiyo mana wanawachagua wajinga.
Watanzania wengi hawajui wanataka nini ndiyo mana wanachezewa na wajinga.
Hata mashairi yao ni ya kijinga jinga tu.
Kama huna akili jitahidi wengine wasijueNgoja niwapige mdomo kidogo.
Unajua watanzania wengi ni wavivu ndiyo mana wanawachukia sana viongozi wa kisiasa.
Hamuwachukii kwa sababu wapo kwenye siasa ila mnawachukia kwa sababu mnahisi wanapata vihela hela huko. Chuki yenu kubwa ipo kwenye maokoto na sio nafasi zao za uongozi. Hata kwa machawa pia ni vile vile.
Pambana upate vihela vyako, serikali haiwezi kutatua shida binafsi.
Wewe umeingia lini nchini??Wananchi wangekuwa na akili wasingekuwa wanawachagua hao wabunge wajinga.
Aisee Dudubaya ana akili nyingi sana. Ameongea ukweli mchungu.Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
Dudu kama duduMsaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.