Wananchi hawana akili ndiyo maana wanakubali dhulma kama hii kufanyika. Walipaswa kuandamana na kupindua serikali inayofanya ujinga huu.Wewe umeingia lini nchini??
Ccm inachaguliwa au inakwapua uchaguzi.
Kwa akili ya kawaida kuna uwezekano wa majimbo zaidi ya 90% wabunge kupita bila kupingwa.
Mbunge anaegombea ni mmoja tu wa ccm hapo utasema wananchi wamemchagua??
Kanda ya ziwa hali si haliMsaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
bora hata huyu jamaa amelisemea hili. japokuwa huw, tunammuona kama amepoteza muelekeo ila dudu baya anakitu.Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
Debate ni muhimu sana kwa candidates wote toka Diwan, Mbunge hadi Rais, mnamchuja mgombea. Vigezo vingine ElimuMsaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
Nenda kapambane nae uone kama ni rahisi hivyo.Eti kibaka kama msukuma naye ni mbunge
Tarehe 28 June-2July form zinaanza kutolewa nendeni mkachukue muone kama ni rahisi hivyoMsaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
Hii Wakenya wakiiona basi... TumekwishaaMsaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
dudukweeDudu kama dudu
Ukifanya hivyo unaitwa Mhaini¡!!Watanzania mnapenda kuongelea madhaifu mko nayo.
Kama unaona kuna watu wanafanya ujinga, jitokeze na uoneshe nia.
Vinginevyo utaendelea kupiga kelele za kijinga na kuongozwa na watu usio wataka.
Bado haiondoi ukweli kuwa ni zero brain.Nenda kapambane nae uone kama ni rahisi hivyo.
Utauza hadi vitu vyako vyote na utapigwa chini.
Si kweli hata kidogoHakuna cha rushwa wala nini.
Wananchi wenyewe ni wajinga ndiyo mana wanawachagua wajinga.
Watanzania wengi hawajui wanataka nini ndiyo mana wanachezewa na wajinga.
Hata mashairi yao ni ya kijinga jinga tu.
Kwani wabunge wote walioko bungeni walichaguliwa na wananchi? Wale wanaohitaji mabadiliko ya mifumo wako sahihi sana. Hii itawapatia wananchi fursa ya kuchagua viongozi wao, fursa ambayo imeporwa na kundi dogo kwa maslahi yaoWananchi wangekuwa na akili wasingekuwa wanawachagua hao wabunge wajinga.
Si ndio hao ubunge wanaununua?Nenda kapambane nae uone kama ni rahisi hivyo.
Utauza hadi vitu vyako vyote na utapigwa chini.
We mvuta bangi ye ana elimu gani, agombee km anajiona ana akili.Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.
Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu likipiga tu mingo zake au maokoto yake linaanza kushawishiwa na wanasiasa kujiunga na chama kuwa unastahili kugombea na anashinda kwa rushwa wakati ni lindindi alijuwi sheria na Katiba
Kagombee wewe, hiyo elimu ya kukariri usifikiri ndio akili.Hakuna cha rushwa wala nini.
Wananchi wenyewe ni wajinga ndiyo mana wanawachagua wajinga.
Watanzania wengi hawajui wanataka nini ndiyo mana wanachezewa na wajinga.
Hata mashairi yao ni ya kijinga jinga tu.
Lakini, mbona mle bungeni tofauti ya wasomi na darasa la saba haionekani kiviile. Unajua usomi si lazima kumfanya mtu kuwa critical kwani hutegemea mhusika kasoma nini au amesomaje. Ndiyo maana bungeni PhD au Profs wanaweza kuzidiwa na wale la saba.Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba.