PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukisikiliza hoja zao na michango yao bungeni (walio wengi)inasikitisha sana sana!
 
Huku Kenge,,,Huku Malindindi Kutoka Kwa Mamba,,Sasa Ni Moha Moha,,Game On...Ngoja Tushuhudie Mtanange Utakwisha Vipi.
 
Kuna mwingine toka 1997 hadi 2015 anarisiti tu halafu leo ni mbunge akiwakilisha kenge zake.
Yaan Mimi huwashangaa watu wanao feli kidato Cha nne.

Sijawai ona somo gumu o-level

Mathematics somo jepesi Sana na huwezi KOSA C

Nitajiee somo gan o level la kufanya mtu awe risita
 
Ndio maana hawajui kujenga hoja ,Hata tunaoamini Kwenye biblia imeandikwa elimu,Mkamate sana elimu,Usimuache ndio Uzima wako!.Tafuta Kwenye Mithali.
 
Serikali haijawahi tatua shida binafsi, ila vitu ya kitaifa visaidie Taifa...
 
Ninamuunga mkono huyu Dudubaya. Kuna mbunge wa Covid19 alimaliza primary mwaka form four mwaka 1999 ila hadi 2004 alikuwa anarudia mitihani. Ni miongoni mwa watu wenye vichwa vizito mno kuelewa ila ni mwakilishi wa wananchi kupitia uhawara wa Dr Slaa..
 
Kwani kura za watz zinaheshimiwa?

Hakuna cha rushwa wala nini.
Wananchi wenyewe ni wajinga ndiyo mana wanawachagua wajinga.

Watanzania wengi hawajui wanataka nini ndiyo mana wanachezewa na wajinga.

Hata mashairi yao ni ya kijinga jinga tu.
 
Yaan Mimi huwashangaa watu wanao feli kidato Cha nne.

Sijawai ona somo gumu o-level

Mathematics somo jepesi Sana na huwezi KOSA C

Nitajiee somo gan o level la kufanya mtu awe risita
Vidole havilingani ndio maana hata wewe huna pesa za kumfikia hata mo tu
 
Yaan Mimi huwashangaa watu wanao feli kidato Cha nne.

Sijawai ona somo gumu o-level

Mathematics somo jepesi Sana na huwezi KOSA C

Nitajiee somo gan o level la kufanya mtu awe risita
Humu duniani kuna watu wameumbwa mikia tu…
 
Nani kawachagua? Ukumbuki jiwe alifanyaje.? Tukubali tu madhaifu ili tuweze rekebisha!
Tulipaswa kutumia nguvu ya umma ya mapanga. Lkn kwa kuwa wananchi akili hatuna ndiyo maana tuko kimya. Usitegemee ccm watarekebisha mifumo tukiendelea kuwachekea
 
Afande Sele na Dudubaya naona asali imewakwepa safari hii wameamua kusimama na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…