PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dudebaya yupo sahihi 💯%. Mibunge mingi ya CCM ni zamwama, haijui kusoma wala kuandika lakini imetunisha macho mle bungeni kama chura inagema posho tu. Hayana hata huruma na wananchi. Yanajali kuvuna posho tu haya majitu ya ovyo sana.
 
Msukuma na msululu wake wa vifutu jiwe limerushwa gizani🤣🤣
MaCCM yamepigwa jiwe la utosi. Lakini huyu kwamba inabidi awe makini asije akatekwa na kupotezwa na maCCM.
 
Kumbe kuna muda dudubqyq linakua dudu zuri!
 
Ujinga siyo tatizo kama huyo mjinga siyo mpumbavu ...katiba ya tanzania imeruhusu KUWA NA WABUNGE NA VIONGOZI WAPUMBAVU ...SHIDA IPO HAPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…