Duh barabara nyeupeeeee, kweli kumbukumbu za Oktoba 29 hazijafutika

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
9,024
Reaction score
18,683
Salaam

Hii ishu ya 7/7 tunatoka wote inaweza ikawa serious.Nimeamka asubuhi niende mishe ebwana stand Mombassa nimekaa dk zaid 40 ndo nimepata gari ,watu wachache mno na gari chache mno na biashara zimefungwa.

Vipi huko ulipo hali ikoje?

NCHI IMESIMAMA HII
 
Nimeshafika Magogonibona SIWAONI
Screenshot_20260707-074845_Gallery.png
 
Salaam

Hii ishu ya 7/7 tunatoka wote inaweza ikawa serious.Nimeamka asubuhi niende mishe ebwana stand Mombassa nimekaa dk zaid 40 ndo nimepata gari ,watu wachache mno na gari chache mno na biashara zimefungwa.

Vipi huko ulipo hali ikoje?

NCHI IMESIMAMA
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
 
Kuua debate masekondarini ndio kuliua kabisa uwezo wa wabongo kushindana kwa hoja, kizazi cha viongozi wa sasa kimetokana na kudesa na pia kuua mijadala vyuo vikuu kumechangia pakubwa sana kuwa na viongozi wenye nusu GB ya akili, so kila ntu anaogopa mijadala ya hoja wanategemea bunduki hawajui hata hizo zitazoeleka tu soon!

Wabongo wengi walikua hawajui hata mlio wa bunduki lakini baada ya Oct 29 kila mtu anajua mtu aliyepigwa risasi anafananaje na kifo cha risasi kikoje, ni muda tu hadi tutakapokuwa na viongozi wanaojua huwezi kuzima fikra za watu wote kwa mitutu wakija then hili unalosema linaweza kufikiriwa
 
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Sahihi kabisa
 
Mikwala kama hii nimewahi kuisoma kwenye biblia Wana wa Israel walizunguka ukuta wa yeriko mala kadhaa bila kuleta madhara yoyote mpaka walikuwa ndani ya ukuta wakaona waandamanaji hawana madhara yoyote wakawaacha bila tahadhali yoyote lakini ilipo fika siku ya saba wasomaji wa bible wanajua kilicho tokea ,kwa maoni yangu serikali iweke sawa malalamiko ya wananchi na kuyafanyia kazi
 
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Hapana.Tukianza kujisahihisha tutawapa kichwa CHADEMA.Unajua serikali ni kubwa kuliko vijitu vidogovidogo kama hao.Kama ni ACT-zambarau na CHAUMMAMA tumewaweka sawa.Yasikutishe ya Oktoba 29 na uchumi wetu upo imara na unakua sana zaidi ya uyoga.Hakuna nywiii wala nyweee!
 
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Ushauri wauone watu wa CCM wachukue hatua maana wao ndo wanaogoza serikali.
 
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Mimi bado naamini wanaochochea hisia za watu kuandamana wapo kwenye mfumo na wanafanya hivyo makusudi ili kujipata pesa kilaini isiyo na Querry kwa Mkaguzi wa hesabu za Serikali.
Vijana wengine nao kama nyumbu wanatumika kuwasaidia watu kula pesa bila kujua. Kitendo cha kujaza hao askari barabarani ni moja ya njia ya kuhalalisha hao wakuu wa dola kujipatia mapesa. Tuendelee kushabikia ujinga
 
Back
Top Bottom