Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Usiwe na hofu tena.Zimenunuliwa zenye harufu ya mawaridi na ladha ya strawberries.Yakivurumishwa yatatoa moshi mzuri kama wa shisha na waandamanaji wataburudika sana.Oya zile teargas zinawasha na kuumiza kifua sio poa aisee. Bora mvua inyeshe ipunguze makali.