Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Makubaliano na wewe lakini mbona akina Kabudi na akina DPP ni wa zamani?
Mkuu hawa chawa si ndio walioua mijadala wakiwa jalalani? Kabudu huyuhuyu aliyemdanganya jiwe ampe Boeing kufuata majitaka madagasca naye unaona kichwa hiki? Ndio anayempotosha mama yao muda wote na ujue haya mambo ya familia ya mama kwenda Urusi ni akili yake ati!