Duh barabara nyeupeeeee, kweli kumbukumbu za Oktoba 29 hazijafutika

Oya zile teargas zinawasha na kuumiza kifua sio poa aisee. Bora mvua inyeshe ipunguze makali.
Umekaa hapo kwenye kochi la shemeji yako umejifunika huku umeshika simu yako unaandamana kupitia jf kwa wasiwasi mkubwa sana.
Toka hapo mjee upigwe Rungu moja urudi ndani .
 
Lazima wahofie kwa sababu wanajua dozi ya maandamano ikiongezwa kidogo tu,wamekwisha.
Wazo la watu kutoka ni hatari kuliko wazo la watu kususa kwa mwanasiasa.

Sasa hivi waziri objective yake ya 1 ni siku ipite bila watu kutoka, ikitokea hawajatoka na wakaenda kwenye maonyesho hayo ni mafanikio makubwa mno, ila kuliko watoke, bora wasuse maonyesho yadode.
 
Kwa hali ya ukimya Huuu hata kama msipooona muandamanaji ila PLAN ya haya maandamano inefanikiwa 90%

WAtu wote kimyaa

Biashara zimefungwa

Kazi zimesimama

Haya ni zaidi ya maandamano....Samia ana ua Nchi
Kwamba nchi ulikuwa hai....?? Alisha iua siku mingi mno...
 
Wazo la watu kutoka ni hatari kuliko wazo la watu kususa kwa mwanasiasa.

Sasa hivi waziri objective yake ya 1 ni siku ipite bila watu kutoka, ikitokea hawajatoka na wakaenda kwenye maonyesho hayo ni mafanikio makubwa mno, ila kuliko watoke, bora wasuse maonyesho yadode.
Tutamjua anayekaribia ushindi-jumla kwa hatua.Ascending process!
 
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Kabisa issue ni mijadala tu na kuelewana ila hii utasikia 88 mandamano utasikia kipind cha Afcon mandamano..
 
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Kenge kamwe sii wasikivu,kenge wamejaa kwenye mfumo chama na mfumo chawa
 
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
mapumbavu hayakusikii.
 
Yaani hiyo issues ya katiba ingezima hivyo vitisho..
 
Kuua debate masekondarini ndio kuliua kabisa uwezo wa wabongo kushindana kwa hoja, kizazi cha viongozi wa sasa kimetokana na kudesa na pia kuua mijadala vyuo vikuu kumechangia pakubwa sana kuwa na viongozi wenye nusu GB ya akili, so kila ntu anaogopa mijadala ya hoja wanategemea bunduki hawajui hata hizo zitazoeleka tu soon!
Makubaliano na wewe lakini mbona akina Kabudi na akina DPP ni wa zamani?
 
Salaam

Hii ishu ya 7/7 tunatoka wote inaweza ikawa serious.Nimeamka asubuhi niende mishe ebwana stand Mombassa nimekaa dk zaid 40 ndo nimepata gari ,watu wachache mno na gari chache mno na biashara zimefungwa.

Vipi huko ulipo hali ikoje?

NCHI IMESIMAMA HII
Aibu sana. Nchi inakuwa paralyzed kwa sababu ya mazafakas wachache ambao wamejiweka madarakani kibabe!
 
Back
Top Bottom