REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Matsko yakoMaoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe