PichaSalaam
Hii ishu ya 7/7 tunatoka wote inaweza ikawa serious.Nimeamka asubuhi niende mishe ebwana stand Mombassa nimekaa dk zaid 40 ndo nimepata gari ,watu wachache mno na gari chache mno na biashara zimefungwa.
Vipi huko ulipo hali ikoje?
NCHI IMESIMAMA HII
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? TujisahihisheSalaam
Hii ishu ya 7/7 tunatoka wote inaweza ikawa serious.Nimeamka asubuhi niende mishe ebwana stand Mombassa nimekaa dk zaid 40 ndo nimepata gari ,watu wachache mno na gari chache mno na biashara zimefungwa.
Vipi huko ulipo hali ikoje?
NCHI IMESIMAMA
Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Unaomba picha huku umelala kwako.Picha
Sahihi kabisaMaoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Mikwala kama hii nimewahi kuisoma kwenye biblia Wana wa Israel walizunguka ukuta wa yeriko mala kadhaa bila kuleta madhara yoyote mpaka walikuwa ndani ya ukuta wakaona waandamanaji hawana madhara yoyote wakawaacha bila tahadhali yoyote lakini ilipo fika siku ya saba wasomaji wa bible wanajua kilicho tokea ,kwa maoni yangu serikali iweke sawa malalamiko ya wananchi na kuyafanyia kaziMaoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Hapana.Tukianza kujisahihisha tutawapa kichwa CHADEMA.Unajua serikali ni kubwa kuliko vijitu vidogovidogo kama hao.Kama ni ACT-zambarau na CHAUMMAMA tumewaweka sawa.Yasikutishe ya Oktoba 29 na uchumi wetu upo imara na unakua sana zaidi ya uyoga.Hakuna nywiii wala nyweee!Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Waandamanaji wanakuwaje soft kiasi cha kuogopa kulowana?Mvua inanyesha huku mkuu
Ushauri wauone watu wa CCM wachukue hatua maana wao ndo wanaogoza serikali.Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Mimi bado naamini wanaochochea hisia za watu kuandamana wapo kwenye mfumo na wanafanya hivyo makusudi ili kujipata pesa kilaini isiyo na Querry kwa Mkaguzi wa hesabu za Serikali.Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Mvua inapunguza makali yapi?Oya zile teargas zinawasha na kuumiza kifua sio poa aisee. Bora mvua inyeshe ipunguze makali.